Jf Chit Chat duh!


Uwe unapiga hodi siku nyingine..
 
Last edited by a moderator:
Sir. Kernel huku ni free zone
hautakiwa kufikiria sana unachokiandika
unaachia vidole vinafanya kazi vyenyewe
kwa hiyo kweli hautapaweza hapa.

Nimezaliwa Amani na Upendo na nina Ishi amani na upendo. Sitafuti kitu ila nilipita huku kuchangamana nanyi, nimegundua siwawezi.
 
Last edited by a moderator:
Heading yake inaonesha kuna kitu alikuwa anasarandia huku, sema dizain kama alikuwa anaogopa..

Janja ya nyani dogo alitaka kujulikana kama kaingia CC hujashituka tangu aseme anapita muda gani na bado yupo??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…