JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

Attachments

  • IMG_20230730_055342.jpg
    IMG_20230730_055342.jpg
    52.7 KB · Views: 14
Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...

Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION

Ombi kwa Moderator: tunaomba muelee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
NO REFORMS NO ELECTION.
 
hii nonsense ni useless field na ground mmebaki kutafutana wenyewe kwa wenyewe tu humu humu jukwaani 🤣

wew binafsi umecreate fake IDs ngapi mpaka sasa, achilia mbali zombie wengine kwani kwaajili hiyo gentleman?

eti 3k🤣
sasa 3k ndio mtafanya nini wapi kwa mfano gentleman?🐒
Acha ngojeraa,,,,,,NO REFORMS No ELECTION
 
Upo sahihi kabisa aliyeleta Neno Reforms ni Samia sasa hivi kinachodaiwa ni utekelezaji kama alikuwa anatania watanzania tunazitaka
Toka sikubya jwanza kinatekel2zwa.

Kwani hao wanaojidai sasa hivi walikuwa wapi kama haitekelezwi falsafa ya Reconciliation, Resilience, REFORMS na Rebuild?
 
Back
Top Bottom