Mwambawetu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,430
- 34,452
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristuNakulilia ewe Tanganyika
Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina