Kimewaka mitandaoni,sasa hatua ya mwisho kitawaka mitaani na ole wake atakae ingilia atajua nini maana ya mlipuko na hasira ya kupotelewa na kutekwa kwa ndugu zetu kisa kuna wapumbavu fulani wamekumbatia uhuru wetu na kila tukijaribu kuchange uongozi wanaiba kura kibabe sasa muda unakuja ambao wote tutakuwa wababe ndio patanoga na kuchangamka hiyo inaitwa hakuna kuonewa Wala kupigwa rungu na wezi,hatutakubali mwizi atuibie na atupige ndani mwetu.Mnao watetea wezi,wahuni,mafisadi,watekaji,na wauaji naona muda sio mwingi mtaisoma namba.
Mnao watetea wezi,wahuni,mafisadi,watekaji,na wauaji naona muda sio mwingi mtaisoma namba.💪🏿✌🏿📌🔨🔥🔥🔥🔥Kimewaka mitandaoni,sasa hatua ya mwisho kitawaka mitaani na ole wake atakae ingilia atajua nini maana ya mlipuko na hasira ya kupotelewa na kutekwa kwa ndugu zetu kisa kuna wapumbavu fulani wamekumbatia uhuru wetu na kila tukijaribu kuchange uongozi wanaiba kura kibabe sasa muda unakuja ambao wote tutakuwa wababe ndio patanoga na kuchangamka hiyo inaitwa hakuna kuonewa Wala kupigwa rungu na wezi,hatutakubali mwizi atuibie na atupige ndani mwetu.Mnao watetea wezi,wahuni,mafisadi,watekaji,na wauaji naona muda sio mwingi mtaisoma namba.
Mpka mbinguniView attachment 3359471
NRNETusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION
Ombi kwa Moderator: tunaomba muelee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
NO REFORMS NO ELECTIONTusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION
Ombi kwa Moderator: tunaomba muelee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿