Haya ni maajabu✌🏿✌🏿✌🏿
sielewi naomba nielewesheAcha Uchizi wewe unaelewa maana ya replies?
NRNETusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION
Ombi kwa Moderator: tunaomba muulee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 3359751
NRNEMkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ni kada wa CCM, Mwenyekiti wa Bodi ya uchaguzi alishawahi kuwa mwenezi wa CCM
No reform No electionKwa ID na Maroboti ya mleta mada. 1.5k ni zake.
What a confllation of facts
NRNEMimi muasi napinga hiyo na Reform no Election, reforms za kweli Anza na nafsi yako mwenyewe Kisha familia .
Kisha zianze kwenye Elimu na kurekebisha bongo za Watanzania ambao focous zao mambo ya ngono , umbea ,miziki na Simba na Yanga .
Uchaguzi sio solutions ya matatizo yote ya nchi hii kama watu ndio walewale katika Jamii hii hii , wabongo wengi Mafisadi ndio hivyo hawajapata mianya ya kupata nafasi na vitengo.
NRNEhii nonsense ni useless field na ground mmebaki kutafutana wenyewe kwa wenyewe tu humu humu jukwaani 🤣
wew binafsi umecreate fake IDs ngapi mpaka sasa, achilia mbali zombie wengine kwani kwaajili hiyo gentleman?
eti 3k🤣
sasa 3k ndio mtafanya nini wapi kwa mfano gentleman?🐒