JF bora Kuliko FaceBook... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF bora Kuliko FaceBook...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Exaud J. Makyao, Jun 23, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa muda mfupi nilioshiriki hapa JF, nimeona kama hapa ni pazuri kuliko kwenye FACEBOOK.

  Hapa JF, mada huchambuliwa kwa umakini mkubwa.

  Taarifa muhimu hupatikana kwa haraka sana.

  Members wana takwimu za kila aina.

  Hapa JF hapajakaa kihuni huni.

  Members wa JF, wanatunza heshima zao.

  Sasa nitaanza kuwajibika kuiendeleza forum hii.

  BIG UP waanzilishi wa JF.
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Exaud

  Niaonavyo mie ni kuwa maudhui/malengo ya JF ni tofauti kabisa na FB.
  Upo FB, wanafanya nini kule?
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Facebook na Jamiiforums vitu viwili tofauti mkuu. Facebook ni social network na JF ni online forum.
   
 4. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thanks B,
  Utofauti wake kimalengo ukoje?
   
 5. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45

  Karibu mkuu wala hujachelewa. Usije tu kuwajibishwa kwa kutokuwajibika kuiendeleza!
   
 6. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwny rangi: nani kakumbia hakuna uhuni hapa?
   
 7. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Kumbe kuna kuwajibishwa?
  Nipe dondoo za KUZINGATIA nisije nikawakosa akina KYACHAKICHE.
   
 8. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mkuu hiyo ni ahadi, na ahadi ni deni! Si unajua kuna kuwajibika kwa hali na mali?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jun 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wanashinda Facebook na kuna watu wanashinda JF? Tofauti ni nini?
   
 10. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,494
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Mkuu jina lako limenivutia sana KYACHAKICHE! ungekuwa mchezaji 'one day' mtangazaji angekata ulimi,.... kama ndiyo unakata chenga na mtangazaji anakutaja mfululizo!! Kyachakiche, Kyachakiche,Kyachakiche,Kyachakiche.....x10!

  Lakini safi sana mkuu! hongera, napenda sana majina ya kiafrika.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huku ndo kwenyewe mkuu karibu sana waambie na wengine waje waenjoy mavituz toka pande mbali mbali za dunia.
   
 12. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MZIZI,
  Kweli hili jina la KYACHAKICHE liko kama KITANZA ULIMI (tongue twister).
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  FB ni mambo hadharani..huwezi kujificha nyuma ya keyboard na kuanza kurusha mawe.
  FB inakuunganisha na ndugu, jamaa na marafiki..mnaheshimiana kwa kwenda mbele, JF unaweza kujikuta unamtukana hata baba yako mzazi! ( Unaweza kuokota laana)
   
 14. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2009
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,959
  Likes Received: 20,296
  Trophy Points: 280
  Naungana na wote kuwa hapa JF kuna michango yenye mashiko kwa jamii nzima. Ninawapongea wachangiaji wote wa JF (namanisha wale wa HALI na MALI) wanaoiwezesha forum hii kusonga mbele na kuwa na maana yenye MAANA kwa tanzania na jamii nzima


  DARASA/SHULE SI MAJENGO..
  ..
   
 15. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #15
  Jun 23, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ukitaka kujua tembelea Alexa the Web Information Company kuangalia website zinazotembelewa sana duniani kwa nchi halafu African Blogs, Videos, Photos & Social Media - Afrigator angalia blogu na tovuti za habari zinazosomwa na kutembelewa zaidi afrika kwa afrigator click on tanzania ungekuwa umefanya utafiti kote huko ndio ungeweza kuja na mada ukaitetea bwana makyao
   
 16. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #16
  Jun 23, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nilichokuambia mimi ni kitu cha kitaalamu zaidi hata katika kutoa zawadi watu huangalia ranks za huko zaidi FACEBOOK KWA KUWA NI SOCIAL NETOWKR UNGEIFANANISHA NA www.nipe5.com au www.watanzania.com hizi ni social networks za kitanzania kwa kenya ni kama www.mabeste.com
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Jun 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Uko huko Facebook WoS?

  Wakati mwingine huwa nadhania ni mimi tu ambaye siko huko...
   
 18. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  WOS,
  Mbona naanza kuogopa tena hapa JF kama ni hivyo?
  Kumbe kuna matusi hapa?
  Eheee.
   
 19. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Shauri yako.Mi simo!
   
 20. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  OBE,
  Tuko pamoja mkuu.
  Nashauri kama ulikuwa hujaanza kuchangia kwa mali kama mimi, tufanye hima tunyooshe mkono.
   
Loading...