Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....
Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
hatari sana mkuuSahihi
Ilinipita hii maana aliemuuzi kama yuko huku kitawaka.
Kaharibu siku yangu kabisa😅Kakufanyaje tena
Vitafunio mbona hujaweka🤭Hii mbaya sana
😃 Exactly 💯Na ikigundulika ana nyingine zipigwe ban haraka sana , hata akifungua mpya ikabainika apigwe ban tu
Joanah mambo 😎
Kazingua kinoma yaaniKaharibu siku yangu kabisa😅
Mtu anajiita Tuyeye wewe unafikiri wataacha kumwita Malaya huyo?Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....
Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
Pole sana Ndugu yanguYaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....
Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
Inavyoonekana yupo humu 🤣Ilinipita hii maana aliemuuzi kama yuko huku kitawaka.