JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!


haya yameanza lini?
 
Mkuu Mwita Maranya hata mimi nilifurahi sana! We The Finest Loner ushamkosa hivyoo!
 
Mwita siku zote umekuwa baraka kwetu!karibu tena na tena,uwepo wako ulisababisha sahara akatunukiwa ufilosofa na anonymus...barikiwa
 
Mkuu Mwita Maranya hata mimi nilifurahi sana! We The Finest Loner ushamkosa hivyoo!

Asee hommie mi jografia inanitatiza.....kwamba usalule ipo kericho?
 
Kiongozi wetu Mwita,
-aka mgeni rasmi

Amani iwe kwako!
Tunafurahi sana kuwa unatujali sana kila ukija!
Lakini zaidi kuna kitu unatufunza kila uwapo na sisi, kuwa katika urafiki na maelewano hakuna lisilowezekana!
Mkuu una mchango wako mkubwa katika mambo mengi tunayojivunia kwa sasa hapa A-Town!

Be the same man, regardless of time changes, karibu sana!
 
Mkuu Mwita hapo nimepitwa, tafadhari Paka Jim nipe hayo maudhui, nilikuwa sipo sasa nimerudi mnipe feed back tafadhari. Mbarikiwe!!!!!!!!!!
 
Hommie RR yaani acha tu! Kericho ni nouuma!
 
Mkuu Mwita hapo nimepitwa, tafadhari Paka Jim nipe hayo maudhui, nilikuwa sipo sasa nimerudi mnipe feed back tafadhari. Mbarikiwe!!!!!!!!!!
Mkubwa,
Tulijaribu kukusaka lakini naamini kutokana na shida ya umeme a.k.a JAIRO&NGELEJA Co, ulikwama kuwa hewani!
Kwa shida hiyohiyo ya umeme kuna watu tulilazimika kuwafuata kwa bodaboda makwao ili kuwafahamisha juu ya tukio!
Usiogope mkubwa wetu nakupa details kwa PM , hii ni kutokana na unyeti wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…