Kuweni na subra,tulieni musisikilize maneno ya mtaani.Serikali ndiyo itakayotoa tamko.
Hayo mazoezi hadi kupiga watu, ni kweli au story tu
Lakini kisa maalum wanakijua... Kwanini wasiwaambie ndugu zetu..? Unamuacha mtu anaendelea na shughuri zake halafu anakutana na mabomu na risasi huko hukoNimejaribu kuwauliza walioko songea. Watu kama watano wamenipa visa/ sababu tofauti. Kila mtu anasema alichosikia.....tukumbuke info za kijeshi huwa zinatoka kwa utaratibu na sababu maalumu. Sio kama yule kamanda wetu wa mkoa maalum anavofanyaga.
Hakuna mtu niliyeona akipgwa.
Update ya ki eti eti nyingine toka mtu aliyeko majengo Songea ni kwa inasemekana ndege ya alshaab imeonekana Songea halafu haijulikani imepotelea wapi. Ila kuna milipuko mikubwa kama mitano imetokea maeneo ya mjini.... Watu wamejifungia majumbani na JWTZ wamezagaa mitaani toka asubuhi kama alivyosema muanzisha mada
Who told you kwamba usipoona wese basi hakuna aliyepigwa?
Kuna raia waonga na mnavyo sadadia vita nchi nyingne mnafikiri nin? eti Marekan imchape Urus! mnadhani vita ni kitu kizuri hapo ni bomu tu la machozi mnalialia! Songea hali ilikuwa si shwari barabarani ni kweupe nimehamisha makazi kwa mda mfupi nipo njiani naelekea Dar!
jamani ni mazoezi tu hayo
na zoezi la mabomu na risasi limedumu kwa nusu saa tu
na sasa kupo kimya