Huu ndio ukweli,nashangaa watu wanasema mapindunzi ,vitu kupanda bei and blablaa😂Kifupi wataongelea mafanikio ya jeshi kwa miaka 60 ya uhuru
Lini imetokea? Toa mfanoWewe mwanamke jeshi kumba wanahabari waende ni kitu cha kushtua acha utoto mbona mara nyingi hutokea tu
USSR
Amka ukojoe wewe, usije ukakojoa kitandani!Inawezekana ccm ndiyo byebyebyebye
Ilipokuwa makao makuu Upanga..Makao makuu kwenye anuani ya barua ni ''Dodoma'' alafu ukumbi upo makao makuu ya Jeshi Upanga Dsm what is this? where is Makao makuu ya Jeshi kwa hakika.
No,kuhusu wale Askari wa 92kjInawezekana ccm ndiyo byebyebyebye
Wamesema yaliyokuwa makao makuu.Makao makuu kwenye anuani ya barua ni ''Dodoma'' alafu ukumbi upo makao makuu ya Jeshi Upanga Dsm what is this? where is Makao makuu ya Jeshi kwa hakika.
Mtapigwa chanjo za koona..🤣Wenye fununu wafunguke.
Nafikili wanataka wakina Kingai na genge lake waeleze alipo komando waliompoteza na alipo Denis UrioKwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.
Source: Star tv The Big Agenda
Nakuona Mnyangara unavyo vunja vunja kiswahiliAmka ukojoe wewe, usije ukakojoa kitandani!
Wale wa kisutu?No,kuhusu wale Askari wa 92kj
makatazo ya kuzuia watu kufanya siasa zinazo shirikisha jeshi hakuna kingineZa chini chini ..Hilo tamko mnahisi linahusiana na Jambo gani?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums