The Prezident
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 459
- 176
AMBACHO ni kweli ni kuwa viongozi wengi wa Kiafrika ni wajinga kuhusu dhana ya vyama vingi. Ni wajinga kabisa kiasi cha kuHAMISHIA MASLAHI YA KITAIFA KUWA MASLAHI YA CHAMA. Inafika wakati Taifa linakuwa hatarini kuteketea.jeshi la misri leo
limeweka maslahi ya nchi na wananchi wa misri mbele na kuichukua nchi
mikononi mwao.
ninachojaribu kuangalia ni jinsi gani majeshi ya misri yalivyoweza
kuweka maslahi ya wanasiasa na vyama vyao
pembeni na kutii sauti ya wananchi waliokuwa wakilalamikia utawala mbaya
wa Rais Morsi ukilinganisha na hapa kwetu ambapo jeshi limeamua
kuchagua kulinda maslahi ya wanasiasa badala ya kuweka mbele maslahi ya
nchi na wananchi
ambao wamekuwa wakilalamikia utawala mbaya wa ccm ambao umekuwa ukisaini
mikataba mibaya ambayo hainufaishi wananchi. naomba jeshi la wananchi
lijifunze kupima na kuweka mbele maslahi ya wananchi badala ya
wanasiasa.
Tanzania kwa Sasa ni JWTZ kwa sasa yenye angalau vionjo vya kitaifa. Taasisi nyingine zote totaly compromised. Kunusuru Taifa JWTZ IJIPIME!!!