Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,746
- 46,268
Haya ya leo yalikuwa mapinduzi ya jeshi?
Au yale ya mwaka 2011 yalikuwa mapinduzi ya jeshi?
Mapinduzi ya kijeshi Misri yameanza toka mwaka 1952.
Haya ya leo yalikuwa mapinduzi ya jeshi?
Au yale ya mwaka 2011 yalikuwa mapinduzi ya jeshi?
kwani watz wanataka nini toka kwa serikal ya ccm under jk?!
...weeeee mwenzio unataka akose ubalozi akistaafu
Mapinduzi ya kijeshi Misri yameanza toka mwaka 1952.
So, was this a military coup Sir?
Do you agree with the latest statement released by Morsi that kilichotokea ni military coup?
Hapo ndio muujue U,honeythi wa Mmarekani.
hahaha kwa sababu walikuwa ni wakatoliki n' they were taking orders frm vatican.pls foward hilo gbu to ur fellow team gerezani n' lumumba.
El Baradei amefanya kazi sana UN na ni mtu ambae ndie alitarajiwa kushinda uchaguzi uliopita kwahio wananchi wameona kwa kuwa ana medali ya Nobel basi ashike madaraka ya uraisi na kuipanga upya nchi na kuitayarisha kwa ajili ya uchaguzi ndani ya wiki chache zijazo.
hata mim nipo confused hapo.Nilidhani chief justice ndiye anakuwa kiongozi wa serikali ya mpito?
Sidhani kama ni vyema kumteua Mohamed El Baradei kuwa kiongozi wa serikali ya mpito ikizingatiwa alikuwa opponent wa aliyepinduliwa.
Kwa nini usikamatwe kwa kuchochea uhaini au wewe ni chadema? hakuna manufaa kwa jeshi kuipindua serikali. leo wamisri wana lipi la kujivunia maandamano na vurugu?
Absolutely; nadhani watu wanasahau tu kuwa mapinduzi ni njia pia ya kuleta utawala; lakini ni njia ya mwisho. Mapinduzi yanaweza kuwa ya watu (popular revolution) au ya kijeshi (military). Na yote hayo yanaweza kuwa ya damu au ya kutokumwaga damu. Mapinduzi yaliyomuondoa Mubarak yalikuwa ni ya watu na hayakuwa na umwagikaji damu; haya ni ya jeshi na so far hakuna umwagikaji damu.
Sikukuuliza mapinduzi ya kijeshi Misri yalianza mwaka gani.
Nimekuuliza yaliyotokea leo na mwaka 2011 ni military coups?
It was believed that hana experience na siasa za ndani za Misri kwa sababu amespend muda mwingi nje ya nchi.
Hakuna ushabiki au uzalendo katika kumwaga damu. Bibi yangu ana zaidi ya miaka 100, balaa likiibuka nani atamsaidia? Mke wangu anategemea, balaa likiibuka atakwenda wapi. Tulipata ukombozi 1961, bila ya damu na history repeats itself
Tukisema kilichotokea leo ni military coup siyo kama tuna-igonre efforts za Wamisri walioshinikiza mpaka haya kutokea?
Could this be a mixture of popular revolution and military coup? Or something else? http://www.harvardilj.org/wp-content/uploads/2010/05/HLI203.pdf