Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

Mohamed Mursi sasa yupo kwenye SCAF barracks akishikiliwa na sehemu ya Republican Guard na bado hajaruhusiwa kuwasiliana na mamilioni ya wafuasi wake kwenye mitandao wa Twitter na Facebook.

Mohamed Mursi hasn't tweeted yet.

Huu ni ujumbe kwenye mtandao wa Twitter.
 
You are just a NINCOMPOOP, no difference from a DONKEY!!

hakuna tofauti kati ya chadede na NGO, ipo ki maslahi zaidi, ka mradi ka watu flani hv..si ajabu huko wanapigiana chapuo tu..
 
Hawa waarabu wapuuzi sana wameacha kujitawala kwa sheria za kiislamu pamoja na uwepo wa waislamu asilimia 95 wanaendelea kujifanya waijua demokrasia wakati ndani ya demokrasia hamna haki hata kidogo.

Kalaghabaho we, wenzio wanajitambua siyo kama wewe umekalia ujinga!! Umebugi meeeeeeeeeeeeeeen, Hamna udini hapo!!
 
Huu uzi siyo wa Bavicha nakushari ungekuwa msomaji tu kuliko kujidhalilisha.

Pia sio wa ccm,, we vilevile pita mbali haukua na ulazima wa kuandika pumba zako hapa!
 
Tukisema kilichotokea leo ni military coup siyo kama tuna-igonre efforts za Wamisri walioshinikiza mpaka haya kutokea?

Could this be a mixture of popular revolution and military coup? Or something else? http://www.harvardilj.org/wp-content/uploads/2010/05/HLI203.pdf

Technically ni military coup kwa sababu wananchi wameshinikiza tu kuondolewa kwa Morsi; hawakufanya kama walivyomfanyia Mubarak ambaye aliondolewa purely kwa shinikizo la wananchi. Leo hata hivyo jeshi ndio limeingia kati which to me naamini hili ndilo lililopaswa kufanyika wakati wa Mubarak.

Lakini pia in hindsight unaweza kuona kuwa jeshi lilitaka kuimaliza MB na haiwezi kurudi tena na nguvu iliyokuwa nayo. Masaa ishirini na nne yajayo yataamua kama mapinduzi haya ya kijeshi - si ya kiraia - kwani raia hawawezi kususpend constitution na kumuondoa summarily rais yanakuwa ya damu au bila damu.
 
Sikukuuliza mapinduzi ya kijeshi Misri yalianza mwaka gani.

Nimekuuliza yaliyotokea leo na mwaka 2011 ni military coups?
Nadhani hamtakaa muelewane hapo hata umueleweshe miaka 100.

Mwenzako anachowaza hapo ni kwamba dini ya Allah imehujumiwa na chama chao cha Muslim Brotherhood kimehujumiwa, ilhali hajui hao Waislamu wenyewe wa Misri ndio hawataki kuletewa ujinga wa Sharia licha kwamba walikipigia kura Muslim Brotherhood.

Hili ni pigo kubwa sana kwa Profesee Lipumba.
 
Hatimaye Rais wa Misri ndugu Mohamed Morsi amepinduliwa na jeshi la nchi hiyo,Jeshi limesitisha katiba na kumvua madaraka rais huyo,Limetangaza mwanasheria mkuu kuchukua wadhifa huo kwa muda,

source:Aljazeera,Press Tv,BBC World,DW

Ndugu wanajf.

Kuna taarifa kuwa Jeshi la nchi ya Misri limemvua madaraka Rais na kutangaza kuwa Mwanasheria mkuu atashika hatamu za uongozi kwa sasa

Yeyote mwenye taarifa kamili atuhabarishe tafadhali..


WAPI TANZANIA???????
Sio mwanasheria mkuu, umetafsiri vibaya.
Ni Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba
 
The head of Egypt's army has given a TV address, announcing that President Mohammed Morsi is no longer in office.
Gen Abdul Fattah al-Sisi said the constitution had been suspended and the chief justice of the constitutional court would take on Mr Morsi's powers.
Flanked by religious and opposition leaders, Gen Sisi said Mr Morsi had "failed to meet the demands of the Egyptian people".
Anti-Morsi protesters in Cairo gave a huge cheer in response to the speech.
The army's move to depose the president follows four days of mass street demonstrations against Mr Morsi, and an ultimatum issued by the military which expired on Wednesday afternoon.
It took the Muslim Brotherhood eight decades to come into power. It's unlikely they ever considered it would only last for a year.
The crowd in Tahrir Square roared its approval of General Sisi's eagerly anticipated and largely expected announcement. Millions of Egyptians from all walks of life have felt ignored and belittled since Mr Morsi gained power - he spoke, they say, for his party alone.
The army does not want the world to call this a coup. But conventional wisdom and politics tells us this was a military coup.
As the statement was read, an Egyptian woman standing next to me said: "There is jubilation on the streets but do they understand what's behind it?" In truth perhaps no one does yet.
TV stations belonging to Mr Morsi's Muslim Brotherhood went off air at the end of the speech and state news agency Mena said managers at the movement's Misr25 channel had been arrested.
Minutes later, a notice went up on Mr Morsi's Facebook page denouncing the army move as a "military coup".
The statement asked Egyptian citizens - both civilians and military - to "abide by the constitution and the law and not to respond to this coup".
The ousted leader's current whereabouts are unclear. However, earlier reports said security forces had imposed a travel ban on both him and other leading figures in the Muslim Brotherhood.


'Roadmap' for the future
General Sisi said on state TV that the armed forces could not stay silent and blind to the call of the Egyptian masses.
He spoke of a new roadmap for the future, and said that the chief justice of the Supreme Constitutional Court, Adli Mansour, would be given the task of "running the country's affairs during the transitional period until the election of a new president".
After Gen Sisi's address, both Pope Tawadros II - the head of the Coptic Church - and leading opposition figure Mohammed ElBaradei made short televised speeches about the new roadmap for Egypt's future which they had agreed with the army.
Mr ElBaradei said the roadmap aimed for national reconciliation and represented a fresh start to the January 2011 revolution.
"This roadmap has been drafted by honourable people who seek the interests, first and foremost, of the country," added Pope Tawadros.



Fireworks

The army is currently involved in a show of force, fanning out across Cairo and taking control of the capital, BBC correspondent Quentin Sommerville reports.
He described seeing eight armoured personnel carriers heading for Cairo University in Giza, where one of the main pro-Morsi demonstrations was being held.
The tens of thousands of anti-Morsi protesters on the streets of Cairo are now celebrating, with fireworks lighting up the night sky and car drivers honking their horns in excitement.
But Morsi supporters elsewhere in the city are reported to have shouted: "No to military rule.''

Source: BBC News
 
Back
Top Bottom