tahrir square?naskia rahaaaa!
Wadogo zetu watapumzika sasa pale uwanjani ivi panaitwajee...!
kazi ipo mambo ya misri hayo awapendi ujinga ujinga.chukulia awa wa hapa home ndio wangekuwa kule, dunia ingewatambua.
Al Jazeera English just reported that Morsi's whereabouts are unknown at this point.
JWTZ vp mnajifunza jambo hapo??
Sasa wanasema kuna conflicting reports about his whereabouts.
What do you think: is the Egyptian army becoming too political?
Or does this simply mean the fact that something is legal does not necessarily mean it is legitimate?
Muslim brotherhood na ring leader wao morsi ni vichaa walifikiri ikulu ni sehemu ya kwenda kukariri aya ikulu ni kuleta mandeleo kwa wananchi.
LET THE BEARDED FOOLS GO TO
Then....?!
Egyptian President Mohamed Morsy "no longer a part of the decision-making circle," state-run newspaper reports.
Kutoka CNN
kwa sasa vifaru vya kjeshi
vimepelekwa cairo karibu na tahiriri square yalipo maandamo wakati
wananchi wakisubiri tangazo la kijeshi baada ya muda waliompa rais morsi
kupita bila kufanya chochote.kwa sasa maafisa wakuu wa kijeshi wameitisha kikao cha dharaura wanajadiliana ili waweze kutoa muelekeo wa kisiasa.
source:aljazeera.
Siasa na utawala ni mambo ya kushangaza. Hakuna chama kilichoaminiwa wakati wa Mubarak Kama Muslim Brotherhood.
Leo wanaonekana kama maadui wa Taifa. Nafikiri hawakujua Wananchi wanataka nini nao wafanye nini!
hata kwetu inafaa iwe hivo
tatizo jeshi limekuwa mali ya CCM badala ya kuwa mali ya umma.
Mkuu wa majeshi tanzania upo?
ona wenzio wanavojua kazi zao bila kujikomba komba kwa rais..