Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

Hapa ndipo utata unapokuja kuhusu maana ya kuchaguliwa kidemokrasia. Amechaguliwa kidemokrasia huku majority ya watu wake wanampinga! Napata kizunguzungu kidogo!
 
Pamoja na dhuluma, dhiki na mauaji yote yanayoendelea nchini, mapinduzi kama ya Misri yanaweza kutokea Tanzania?
 
Tanzania lini hayo yatafanyika?maana sisi tuna matatizo kuliko wanachi wa misri.
 
Hawa waarabu wapuuzi sana wameacha kujitawala kwa sheria za kiislamu pamoja na uwepo wa waislamu asilimia 95 wanaendelea kujifanya waijua demokrasia wakati ndani ya demokrasia hamna haki hata kidogo.

Misri ni mwanzo wa ustaarabu duniani na sasa ndio kitovu cha siasa za Mashariki ya kati na wananchi wa Mirsi wanafahamu siasa na jinsi ya kucheza na demokrasia.

Ila mwisho wa yote ni SCAF au Supreme Council of Armed Forces na wao wapo kuangalia hali ya usatwi wa jamii siasa na amani nchini humo.

Generali Al Sisi amesema kwamba wao wanaotikia tu wito wa wananchi katika kudhibiti hali ya siasa nchini humo.
 
aiseeeee babayangu nguvu ya uma ikiamua inaamua tu akuna wa kuizidi nguvu ya uma
 
Kuichukua tv ya taifa haitoshi...yaani napiga picha JWTZ ikaichukue TBC...its too low..wakaichukue white houce kabisa na yule MORSI wamuweke under arrest...hapo itakuwa pouwa sana

Hapana Mkuu. Jeshi au mapinduzi yoyote yakishachukua TV au radio ya taifa ina maana kuwa serikali inayopinduliwa haina tena means ya kufanya mawasiliano na ulimwengu. State house ni jina tuu, what matters ni kuteka means zote za communication.
 
Hii siyo military coup d'etat. Ni mapinduzi yaliyoanzishwa na wananchi na jeshi likaisoma namba na ku-side nao.

Proper credit should be given where it's due.
 
Jeshi la Tanzania limekalia siasa badala ya kukaa na kuangalia wananchi wanasema nini.mijeshi ya hapa inafuata viongozi wanasema nini.shame on them na njaa zao jeshi la Tanzania.wapo huko Mtwara kisiasa tu hadi sasa hivi.
 
Sishabikii siasa za namna hii zinazoendeshwa kwa mob psychology. What if baada ya uchaguzi rais ajaye atashindwa kuleta mabadiliko ndani ya mwaka mmoja? Ataondolewa na yeye?

This is not too healthy for a democratic society.
 
Siasa za Misri wanazijua wao hata sijui huwa wanataka nini toka enzi za kina Sadat.
 
Kuichukua tv ya taifa haitoshi...yaani napiga picha JWTZ ikaichukue TBC...its too low..wakaichukue white houce kabisa na yule MORSI wamuweke under arrest...hapo itakuwa pouwa sana

sio rahisi sana kampango ka-divide and rule na kujipendekeza pendekeza bongo ni kakubwa mno ......makomando wa hapa akipewa kamgao kakifisadi he doesn't care about others' sufferings
 
Si waliuondosha utawala uliopita kwa mbwembwe sasa kuna nini tena..!! na huyu hawamtaki na anaekuja hawatamtaka.. hadi kiama kitasimama.. ------..

Hiyo ina maana kuwa sovereignty belongs to the people, not to some politicians.

It is the people who are sovereign, not the rulers.

The people can do whatever they want to do with their "sovereignty.

It is theirs na kama wakitumia sovereignty yao vibaya it is up to them.

Tatizo ni kwamba sie wabongo aren't used to this.

Tunaona maajabu sana maana tumewapa watawala kila kitu na kubakia mikono mitupu.
 
Siasa za Misri wanazijua wao hata sijui huwa wanataka nini toka enzi za kina Sadat.

wanataka maendeleo kule hakuna habari za buku saba mkuuuuuuuuuuuuu.....wala hakuna Uvccm kule mkuu............halafu unajua nini kule mkuu hakuna kujipitisha kwa nepi wala chemba la maji taka......kule mkuu hakuna kuhaidiwa udc kule ni kupigania maslahii mapana ya umma......dah! unajua kule misri nini mkuu....watu hawana ufia chama kama hapa vijana waganga njaa wa ccm ...unajua nini kule hakunahujuma za kupiga mabomu mikusanyiko ya wapinzani kama hapa bongo............sijui unanipata vile!!!!
 
Back
Top Bottom