Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

hapa kwetu kuna uswahiba mkubwa sana kati ya jeshi na taasisi ya urais. Ni ngumu hapa kwetu japo tungependa kuona
 
Maelfu kwa maelfu ya wamisri wanapiga kelele za maneno ya kiarabu "Irhal, Irhal" yaani "ondoka, ondoka" au kwa kwa lugha ya kiingereza "Leave, leave".
 
Mwema na Mwamunyange wao wapo CCM oyeeeeeeeeeeeee!
 
Jeshi la Misri lina nguvu sana kwa sababu linapata msaada wa vifaa vya kijeshi kutoka Marekani na Ulaya.

Mohamed Mursi ni raisi mjinga kuliko maraisi wengine niliwahi kuwaona kwani amekubali kutumiwa na sasa anapata adhabu kamili.

Wananchi wa Misri wanafahamu namna ya kupanga mambo yao na walingoja siku ya tarehe 30 mwezi Juni ambayo ilkuwa ni siku ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu bwana Mursi aapishwe kuwa raisi na wanataka atoke na apishe.
 
Wanasiasa wana uwezo wa kuahidi neema kubwa sana lakini hawana uwezo wa kutekeleza
 
Mpaka kufikia saa hii wabunge wapatao 30 wa Bunge la nchi hiyo liitwalo Shura wamejiuzuru, wakiwemo watatu kutoka kwenye chama cha Al-Azhar.

Hawa watatu bwana Abdel Dayem Noseer, mshauri wa masuala ya elimu kwa shehe mkuu wa umoja wa Al-Azhar, washauri wengine bwana Mohamed Mehanna na Abdel Hadi al-Qasabgy.

Wengine ni bwana Ayman Haiba, ambae ni mbunge kutoka chama cha Ghad al-Thawra Party, na bwana Abdel Shakor Abdel Dayem, mwenyekiti wa kamati ya bunge kutoka chama cha Egyptian Democratic Party, wote hawa wamewasilisha barua za kujiuzuru kwa bwana spika Ahmed Fahmy.

Bwana Abdel Dayem leo alisema kwamba jioni hii angewasilisha rasmi barua ya pamoja ya manaibu waziri saba kwenye bunge la Shura.


Bunge la Shura
 
Al-Jazeera Arabic is reporting that all presidential aides have left the presidential palace, and that only President Morsi is still around.
 
yah ..niliona ilivyotokea kule kwa Madagascar wananchi walivyomtoa jamaa yao mwaka 2008 AU waliwalaumu wananchi eti wamekosea kumtoa raisi aliyeingia kidemokrasia ...sijuhi hapa watasemaje tena
 
An official source at Cairo's airport tells BBC Arabic that the authorities have been told to forbid any politicians who belong to religious parties from leaving the country, without referring to "sovereign entities".

The source confirms that it is a general alert and that no specific names are mentioned.
 
soliders%20block%20bridge.jpg
 
Hapa ni mji wa Nassr wanajeshi wakiingia kitaa

soldiers%20nassr%20city.jpg
 
Naona vijana wa SCAF wanamkamata mpiga picha wa AP bwana Elshamy kwa kupiga picha jengo la Maspero.
 
Al-Jazeera Arabic is reporting that all presidential aides have left the presidential palace, and that only President Morsi is still around.

Al Jazeera English just reported that Morsi's whereabouts are unknown at this point.
 
The Egyptian army has erected barbed wire around a barracks where President Morsi was working and deployed armoured vehicles and troops to prevent his supporters marching from a nearby rally to his palace - Reuters
 
Al Jazeera English just reported that Morsi's whereabouts are unknown at this point.

Yupo ndani ya Ikulu na yeye menyewe na mawaziriwake na watu wpte wa karibu nae wamesalimisha pasi za za kusafiria.

Chezea SCAF uone cha moto.
 
Back
Top Bottom