Glenn JF-Expert Member May 23, 2015 65,812 156,946 May 15, 2020 #141 Haya nayo yatapita tu Sent using Jamii Forums mobile app
Alexander The Great JF-Expert Member Aug 28, 2018 4,502 23,582 May 15, 2020 #142 Hakawii kuwekwa selo moja na waathirika hata 10 wa Corona. Serikali hii haina "UTU" hata kidogo.
Hismastersvoice JF-Expert Member Jan 26, 2013 18,670 22,261 May 15, 2020 #143 chagu wa malunde said: Kwa Nccr mageuzi ni wahalifu? Click to expand... Kufanya mikusanyiko ya kisiasa wakati imekatazwa ni uhalifu.
chagu wa malunde said: Kwa Nccr mageuzi ni wahalifu? Click to expand... Kufanya mikusanyiko ya kisiasa wakati imekatazwa ni uhalifu.
M MIKETHON1991 Member Aug 7, 2013 77 55 May 15, 2020 #144 CDM wavunja sheria makini sana wakitegemea huruma ya wananchi pale wanapochukuliwa hatua