Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

Chadema wana.mambo ya kizamani sana,yote tu kutafuta kiki ili.nao watikise kama Magufuli alivyoitetemesha dunia.na vipimo feki vya kichina
Kama wana jambo lao kwa nini wasiende live kwenye tovuti yao,insta,facebook.na huko twitter wanakoshinda
 
Watanzania wengi hawapo online wanatumia TV radio kupata habari chadema kuongea na wananchi siyo kiki ni wajibu wao kama chama cha siasa
 
Tehehe sasa mnavyojinasibu kuwa mtachukua dola kwa vurugu zenu za mitandaoni?
 
Back
Top Bottom