Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Mimi binafsi sijavaa t-shirt nyeupe kwa sababu sina and I'm broke to buy a new one.
 
Uhamasishaji haukuwa na wigo mkubwa hata hivyo huku niliko naona nyeupe nyingi!! Sio full suti au magauni meupe uliyotegemea wewe lakini naona watu wamevaa raba ,mitandio, shati, barakhashia vyote vyeupe kuashilia kuunga mkono kuwepo kwa tume huru na Katiba ya wananchi.
 
Nimetoka leo natembea tembea nilisikia habari kwamba Vyama vya upinzani leo watavaa nguo nyeupe kuashiria kudai tume huru.

Lakini mtaani sioni kitu kama hicho sijaona yoyote yule aliyavaa nyeupe au chochote kile.

Walisema hawatoandamana wala kuingia mtaani bali watatoka tu wamevaa nyeupe kuashiria mioyo yao inaishi katika kudai tume huru.

Lakini mtaani sioni chochotekwa hali hii mtawezana mweli kwenye kudai haki?
T-shirt nyeupe za bibi zao wanao watuma kutaka kutuchafulia taswira nzuri ya nchi yetu

Waende wakazivae huko huko kwa walio watuma shwain.
 
T-shirt nyeupe za bibi zao wanao watuma kutaka kutuchafulia taswira nzuri ya nchi yetu

Waende wakazivae huko huko kwa walio watuma shwain.

Sio kosa lako wewe ni muhanga wa watawala wanaotaka ubaki na ujinga wako milele ili wakutawale vizuri wewe na vizazi vyako!! Amka ujitambue ili uokoe vizazi vyako vijavyo.
 
Sio kosa lako wewe ni muhanga wa watawala wanaotaka ubaki na ujinga wako milele ili wakutawale vizuri wewe na vizazi vyako!! Amka ujitambue ili uokoe vizazi vyako vijavyo.
Kwani kujitambua ni kuvaa t-shirt nyeupe na kuipinga serikali iliyo madarakani kihalali? Tena kwa kura za wananchi?
 
Kwani kujitambua ni kuvaa t-shirt nyeupe na kuipinga serikali iliyo madarakani kihalali? Tena kwa kura za wananchi?

Hakuna mtu anayepinga serikali ; watu wanataka katiba ya Nchi Yao wanayoitaka ili ilinde maslahi yao na hiyo itapatikana tu iwapo wananchi watawachagua wabunge wao waliochaguliwa kwa mwamvuli wa tume huru ya uchaguzi na sio TUME ya chama tawala!!! Kama ccm wanajiamini kuwa ni chama kinachopendwa na wananchi kwanini wanaogopa kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI?
 
Mtanipa mrejesho baada ya maandamano Mimi ngoja nimalizie kiporo changu cha wali apa
 
Upimzami wanakwama sana,màana hata wafuasi wao hawajui kipi wadai,Mara nyeupe #77 sasa ndo nini?

Niko huku naona watu wamevaa kijani na njano kama ishara ya kuiunga mkono CCM

Upimzani tambueni kuwa mwaka huu msipokuwa makini hata wabunge wanne hampati,sasa hiyo nyeupe saba saba mliyoiasisi kwa lengo la kuichafua taswira ya nchi yetu hakika haitawasaidia

Kwa hili mjitathimini

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom