Jeshi la Polisi Dodoma linamwogopa Dogo Manda? Kuna nini nyuma ya Pazia?

Wanafanya kazi gani na umesema kuna biashara haramu, au ndiyo wanashirikiana kwenye hizo biashara? Kuhusu mauaji ni kitu gani nimeandika ambacho hakina uhalisia?
Sasa unaposema Jesh linamuogopa dogo Manda una ingia akilin kweli? Au kama aliwah kuhusishwa na mauaji zaman bas ww kwa akili yako, ikitokea mauwaji mengine ni manda tu. Jesh la police haliwez kuogopa mtu mdogo Kama yule na hakuna Alie juu ya sheria. Jesh linafanya Kaz kwa weled tu
 
Na je kama anawalambisha rushwa, hawawezi kusita kumchukulia hatua?

Ni kesi ngapi jeshi la Polisi limeacha kuzifuatilia baada ya kulambishwa mlungula?

Nadhani mtoa mada yupo sahihi na swali lake hilo.

Polisi kumuogopa, siyo kwamba anatisha kihaiba ama kwa mbinu na silaha hapana, ana fedha za kuwahonga na kupelekea katika macho ya jamii waonekane wanamuogopa.
 
Ndugu lait Kama ungemjuwa huyo dogo Manda, kijana wa kichovu, sidhan Kama ana hela ya kuwaweka police mfukon. Anauza dizel, alifungua kiduka cha vyakula kikafirisika, alikuwa ana mrad wa kufyatua matofar siku hz kafirisika. Anaendesha kigar Cha milion moja na nusu, colora za kizaman, huyo ndo police wamuogope kwel?
 
watu kama hawa wanafanyiwa uchunguzi wa kimyakimya wakiwa uraiani then ikibainika..wanapotezwa tu kimyakimya..
 
Mzee wangu embu twende na tuhuma za mtoa hoja, mbona ni nzito sana?

Hili la ufukara wa mtu, halimzuii kufanya uhalifu wa kutisha, roho ya mtu kichaka.

Kikubwa ni kumfuatilia kiuchunguzi.

Ninaamini Polisi hawamshindwi mhalifu wa aina yoyote, lakini mwenye pesa za rushwa huonekana wanamuogopa wazi wazi.
 
Hii haifai kuwa routine. Kumbuka kuna ndugu wanalia vijana wao watano hawajui walipo. Shouldn't be condoned at all.
 
Mzee wangu embu twende na tuhuma za mtoa hoja, mbona ni nzito sana?

Hili la ufukara wa mtu, halimzuii kufanya uhalifu wa kutisha, roho ya mtu kichaka.

Kikubwa ni kumfuatilia kiuchunguzi.

Ninaamini Polisi hawamshindwi mhalifu wa aina yoyote, lakini mwenye pesa za rushwa huonekana wanamuogopa wazi wazi.
Bas mkuu nime elewa kosa langu. Kumbe mtoa mada aliuliza swali. Nilikuwa amesema police wanamuogopa direct. Hapo ndo ubish ulianzi...
 
Back
Top Bottom