Jeshi la Polisi Dodoma linamwogopa Dogo Manda? Kuna nini nyuma ya Pazia?

Dogomanda anaogopeka sana hapo chigongwe kuna kituo cha kushusha abiria kinaitwa kwa Dogo Manda ndiyo anaishi hapo, sometimes usiku unakuta gari la polisi wa doria limepaki hapo, wanasimamisha malori makubwa na kuyapekua. Lazima kuna namna.

Makamu wa Rais, anza na hawa polisi wako, wanyooshe maelezo, huyo jamaa akichekewa siku moja ataua polisi.
 
Hao wananchi Nao ni kama mazezeta vile,mutu Mmoja mnashindwa kumfanyia raketi ya kimyakimya,kama mchana mnaogopa mnaifanya usiku kesho asubuhi mnatangaza ni watu wasiojulikana ndo wamefanya tukio,Acha wamwendekeze ,huku kwetu watu wa hivyo Huwa hatuilalamikii polisi ,Huwa tunajua Cha kuwafanyia
 
Halafu ukikamata mharifu wa hivi na ukachoma moto; Kuna mpum.bavu mmoja atasimama na kusema watu wasijichukulie sheria mkononi.!!
 
Au ndiye yule aliyekuwa akiishi chang'ombe juu zamani ??
anaitwa Andrea ni mzaliwa wa hapohapo Chigongwe na kumbe kweli alifungwa huo mwaka 2003 kwa mauaji ya mlinzi wa Kampuni. wakati Katambi akiwa Mkuu wa Wilaya alifika hapo na kura zikapigwa zikamuangukia yy Andrea ( Dogo Manda)
 
Duh! Kumbeee
 
Kajamaa kenyewe ukikaona ni kadogodogo kama jina lake.
Nimeambiwa kwa sasa anajiita Papaa Mukulu wakati ana umbo hilohilo dogo, sifa nyingine ni kudhulumu mashamba ya wenzake wanakijiji,
Hapo warudi tu kwa Mbunge wao ambaye ni naibu sasa washirikiane na Siro patatulia hata km hakuna ushahidi
 
Kweli kabisa bwana Ukwaju
 
Nimeambiwa kwa sasa anajiita Papaa Mukulu wakati ana umbo hilohilo dogo, sifa nyingine ni kudhulumu mashamba ya wenzake wanakijiji,
Hapo warudi tu kwa Mbunge wao ambaye ni naibu sasa washirikiane na Siro patatulia hata km hakuna ushahidi
Ndiyo anajiita papaa, kwasasa chigongwe inamwogopa
 
Mleta mada unajichanganya na maelezo yako. Police Kama police Tena wa mkoa wa dodoma watamuogopaje dogo manda kijana mdogo kabisa mwenye maisha ya kuuza diseal za kunyonya kwenye malori

Kutoka Dodoma mjin mpaka anakoish dogo manda ni km 25. Askari wa doria wa bah na mjin wanashinnda mitaa Ile. Kiufup. Eneo Hilo lote mpaka kigwe Kuna biashara harum ya dizel. Police wanafanya Kaz kila siku hawamuongop wewe una chuk zako tu
 
Wanafanya kazi gani na umesema kuna biashara haramu, au ndiyo wanashirikiana kwenye hizo biashara? Kuhusu mauaji ni kitu gani nimeandika ambacho hakina uhalisia?
 
Back
Top Bottom