Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

Kwani Toka lini Polisi wetu wameanza kuaminika? Hii ni movie tu bado inaendelea tu ioa MUNGU ANAWAONA...
 
Kwanini hapewi nafasi ya kuzungumza na badala yake tunawasikiliza polisi tu ambao hawaoneshi kufanya uchunguzi wowote bali kutaka kuthibitisha na kuhalalisha kitu au kuilazimisha jamii iamini jambo fulani tu?
 
Hawa si ndio waliosema "Dr. Shika, alitumwa na Lugumi kuharibu mnada?"

Yes amejisafirisha. Kosa la kujisafirisha ni lipi hadi wamshikilie na wasimruhusu hata kukuta na ndugu wale mwanasheria wake?

Kwa kuenda iringa kwa kujisafirisha ni jinai?

Alitolewa na kada wa ccm akisema, alimkuta kazimia kule mufindi. Akampa na nauri aende kureport kituo cha polisi.

Alipojisafirisha alifika mfindi akajiondolea fahamu, kisha yule kada wa ccm akamkamata kwa nguvu na kumfikisha kutuo cha polisi?

Mnasema wazazi waombe msamaha hadharani. Waombe msamaha kwa nani kwa kosa gani?

Mungu ni Mungu na kamwe hatakuwa binadamu.
Ukikutwa umezimia unaenda Polisi siku hizi.? Then unaweza kuongea ukasema wewe ni mwanafunzi wa UDSM? Politiks
 
Nashangaa jeshi la polisi kumshikilia Abdul Nondo kwa kosa la kudanganya ametekwa, lakini tukirudi kwenye ukweli hakuna sehemu ambayo Abdul Nondo alisema ametekwa, waliosema ametekwa ni wananchi hasa kutokana na SMS yake aliyowatumia marafiki zake.
 
Wanafunzi wenzake wwlipoita waandishi je walikusudia kitu gani?je polisi wangekaa kimya then akauwawa na maopportunist ungeandika pumba hizi leo?
 
Wanafunzi wenzake wwlipoita waandishi je walikusudia kitu gani?je polisi wangekaa kimya then akauwawa na maopportunist ungeandika pumba hizi leo?
Kwahiyo anashtakiwa kwa kosa la Wanafunzi wenzake kuita wandishi na kusema ametekwa.
 
Tatizo siasa ndo zimemeza hii ajenda nzima, hii kesi anayobambikiziwa huyu Dogo imepangwa kiustarabu sana , dogo hakusema kuwa alitekwa,kwa polisi walazimishe ajenda ya kuwa alitekwa !!, kuna nn behind this ? Swala la kujikuta mtu upo mahala hujielewi mbona watu wengi wanafanyiwa pengine hata na matapeli wanaotumia dawa za kufubaza mind, kwa nn huyu ajennda ilazimishwe na vyombo vya usalama kuwa alitekwa , je nondo mwenyewe ka vconfirm hili suala ? Hata kama alitekwa ,swala la kujifikirisha ni kuwa Nani alimteka? Kwa nn serkali inajishtukia yenyewe ya kuwa ilimteka, uonevu mtupu.
 
Nashangaa jeshi la polisi kumshikilia Abdul Nondo kwa kosa la kudanganya ametekwa, lakini tukirudi kwenye ukweli hakuna sehemu ambayo Abdul Nondo alisema ametekwa, waliosema ametekwa ni wananchi hasa kutokana na SMS yake aliyowatumia marafiki zake.
Acha mihemko..umesahau kama alienda kureport kituo cha Polisi Iringa na kudai hajui kafika vp Iringa!!!
 
rejea maelezo yake aliyotoa alipojipeleka kituo cha polisi iringa

alisema namejikuta kule mafinga pasipo kujua amefikaje...

je hapo hakuumaanisha kuwa alitekwa then watekaji wakamdrug..

huyo dogo kacheza mchezo bila kuwaza nje ya box... wacha apigike...
 
Back
Top Bottom