Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

Nimejiteka nikajinyweshwa dawa ya kulewesha ili niwaite polisi wapumbavu. Maana wanatufanya misukule kama wao
 
Kama una maswali kawaulize wao sio kukimbilia humu kupiga porojo,
Kukusaidia tu ni kwamba uchunguzi ni mpana kuliko unavyofikiria.
Kama wameamua kusema version yao tuna haki ya kujiuliza kama hatujaridhika na maelezo. Ni ubinadamu tu kufanya hivyo.
 
Hata mi nimeskia wewe ni mpinzani wa kila kitu eti ni kweli na we ni nyumbu au karai maana nimeskia
 
Mtanyooka tu!! Hukuwasikia walioitisha press conf. Muulize Katibu wake yule dada aliyesema ametekwa!!
Duh! Wewe mwenye ajenda ya kunyoosha! Sijui ni nani wamepinda. Chuki haikusaidii inakuumiza bure.
 
Hiv hawa si ndio waliochunguza kifo cha akwilina wakasema risasi ilipigwa juu...leo tena wamechunguza ety dogo kajiteka .....
 
maigizo "kadema" hayajawahi kumuacha mtu salama, ona sasa huyu mmanyema kaenda kunyea debe .......................za mbayuwayu changanya na zako!
 
*Uchunguzi wa Kisayansi* wamwaga hadharani siri za mwanafunzi aliyedaiwa kutekwa ni Abdu Nondo anadaiwa alikwenda kwa mpenzi wake mkoani Iringa.
UCHUNGUZI WA KISAYANSI ama kwa hakika tumeendelea
 
Kila mwenye akili anajua mchezo aliofanyiwa huyu jamaa.

Kuna wanasiasa walikuwa wanaaminika huenda wakaja kufanya vitu venye manufaa kwa taifa huko mbele kutokana na historia ya maisha yao kumbe ni hovyoo kabisa.

Nazidi kujifunza wanasiasa wengi wanaotokea familia masikini wanakuja kuwa wa hovyo sana.

HUU NI UONGO.

POLIS WANADHAN SISI WATZ NI MAMBUMBUMBU HV?

KIUHALISIA, HUYO DOGO KTENDO CHA KUMSHKILIA HUKO CENTRAL NA KUTOMRUHUSU KUONGEA NA NDUGU AU WAKILI, NI SAWA NA KUMTEKA. KIJANA HUYO AKPATWA MADHARA, POLIS NDYO WA KUJBU.
.
katika akili za fasta fasta mkuu ,hudhani huyu dogo ana meng ya kujbu kwa wazito zaid ya polisi,lets say hali ile ya wenzake kumtangaza ametekwa had kwny press,ingezua machafuko mabaya kupelekea maafa,lazima uyu dogo ahojiwe na intelligences atake asitake maana km kweli kajteka kwa utoto wake,bhas ajue na wengne mjue kawa automatic kwny list ya ' threat assesment'.hope unajua watu gani wanadeal na hayo mambo..na akiwa levo hiyo,sometimes ndugu watakuona kwny press
 
Kwa hiyo akienda kwa mpenzi wake ni JINAI eti amezua taharuki, ila Musiba aliyetangaza watu 10 hatari yy hakuzua taharuki. Kutangaza mtandao wa watu hatari kwa nchi hakika amesababisha taharuki kubwa, wananchi wanaishi kwa hofu kwa kuwa hawajui hao watu hatari kesho watafanya nini, hali kadhalika hao watu wenyewe waliotajwa wanaishi kwa wasiwasi maana hawajui wananchi wanawafikiriaje na serikali wanajipanga kuwatenda nini.

Hakuna jambo la maana alilozungumza kwa hao wanahabari maana viongozi wake walishasema dogo alituzuga tu na atashughulikiwa kama mhalifu, kutangaza matokeo ya uchunguzi tofauti na kauli za viongozi wake ilikuwa ni kuhatarisha kibarua chake.
 
Kila mwenye akili anajua mchezo aliofanyiwa huyu jamaa.

Kuna wanasiasa walikuwa wanaaminika huenda wakaja kufanya vitu venye manufaa kwa taifa huko mbele kutokana na historia ya maisha yao kumbe ni hovyoo kabisa.

Nazidi kujifunza wanasiasa wengi wanaotokea familia masikini wanakuja kuwa wa hovyo sana.
nilijua jamaa kamanda kumbe kalamanda tu
 
.
katika akili za fasta fasta mkuu ,hudhani huyu dogo ana meng ya kujbu kwa wazito zaid ya polisi,lets say hali ile ya wenzake kumtangaza ametekwa had kwny press,ingezua machafuko mabaya kupelekea maafa,lazima uyu dogo ahojiwe na intelligences atake asitake maana km kweli kajteka kwa utoto wake,bhas ajue na wengne mjue kawa automatic kwny list ya ' threat assesment'.hope unajua watu gani wanadeal na hayo mambo..na akiwa levo hiyo,sometimes ndugu watakuona kwny press

Mnatumia nguvu kubwa kuaminisha umma kuwa kajiteka, hizi sinema zenu za hovyo sana.

Ni mtu asiye na akili timamu ndio atadanganyika na haya maigizo yenu.

Ila wenye akili walishajua kinachoendela toka siku ya kwanza.
 
Back
Top Bottom