Mkuu endelea kutoa elimu watakuelewa tu hawa bavicha wamezoea kila kitu kudanganya wakati tukio lilikuwa wazi halafu wao wameligeuza eti kaanguza hawa madogo siasa za kilaghai zimewaharibu sana mkuu.
Acha kujitukana kijana mimi kanizoea mchumba wangu tu sasa wewe unaposema umenizoea nakushangaa sana hivi bavicha mkoje?
CCM kwa kurogana ndo wenyewe,kapigwa kipapai
Hujitambui huu siyo mjadala ulipo mezani soma tena post lengwa uje tena kila siku nawashauri acheni viroba vinawaharibu ona sasa unachanganya madesa.
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Pendekezo - hizo namba zifikiriwe kuongezwa posho , angalau wafike kwenye rank kama za akina zemarcopolo .
Punde nilikua naangalia taarifa ya habari TBC, anaoneshwa Mbunge wa Peramiho baada ya kuhutubia akiwa anagagaa chini huku nguo zimetapakaa vumbi na nyasi, japokuwa wameonesha picha tu bila maelezo yummkini Mh huyu ameanguka kwa jinsi alivyoonekana kuchafuka chapa chepe na baada tu ya kugundua picha zinamchukua akatimua mbio
My take
TUTAANZA KUSIKIA HABARI ZA NDUMBA HAPA
TBC Taifa Taarifa ya Habari saa 2.00 usiku (20/11/2013)

Thred ya uzushi, uongo na ujinga. Jenista alikuwa anacheza ngoma za asili wala hajaanguka
CCM kwa kurogana ndo wenyewe,kapigwa kipapai
Thred ya uzushi, uongo na ujinga. Jenista alikuwa anacheza ngoma za asili wala hajaanguka