'Jeneza' la Simba: Fear of the unknown

'Jeneza' la Simba: Fear of the unknown

Mkuu.....lkn hii nackia imekopiwa kwa harmonize . Je ni kweli???
Jambo la kusikia bila ithibati sio zuri sana... Labda kama una ushahidi na huyo mwingine naye iwe ni ubunifu wake mwenyewe
Nijuavyo mimi hiyo style sio mpya na sio ngeni.. Imeshatumiwa na wengine wengi tuu hapo kabla
 
Kuingia na jeneza jana huku wakiwa wamebeba msalaba na albino aliyefungwa fungwa kamba halafu kukaendana na maneno ya kebehi, dhihaka dhidi ya Yanga kuliharibu tamasha la Simba. Ni usanii wa kipumbavu. Mimi ni Simba lakini sijafurahishwa na hilo.
...Kweli. Na Mimi ni Simba lakini siikupenda 'Ubunifu' wa Kijinga wa Jana wa Kubeba Jeneza.
Na kama Ndugu yangu Mshana umefikia Hatua ya Kuunga Mkono Ujinga Ule, unakosea Sana.
Watu hawana Unachosema ni 'HOFU' Jeneza, la hasha. Wenye Akili wanajiuliza Kwa 'Ubunifu' uwe Kwa Wakristo TU Kwa kubeba Jeneza na kutanguliwa na Msalaba na Vazi la HESHIMA la Padri wa Kikristo!
Ili ajue 'Ubunifu' wake ni Ujinga, Mhusika angeingia na Mavazi ya Shekhe na lile Jeneza la Kubebea Maiti la Msikitini!
Pasingekalika!
 
Mhusika angeingia na Mavazi ya Shekhe na lile Jeneza la Kubebea Maiti la Msikitini!
Pasingekalika!
BabaDesi pole sana kwa kukwazwa na maoni yangu .. Sijaona shida sana kwenye hili kwakuwa si tukio la kwanza kufanyika hapa nchini, hasa kwenye siasa na soka.. Hizi timu mbili zimeshabebeana sana majeneza na CCM na CHADEMA hivyo hivyo ila sikuwahi kuona hilo likizua mijadala kiasi hiki mitandaoni kama hili la jana la SIMBA
Sasa hivi tumeacha kabisa kujadili mafanikio ya SIMBA day wote tumetekwa na segment ndogo ya jeneza na hii ndio azma waliyoitaka watani wa SIMBA....

Na ishu ya jeneza sio viral kivile kwakuwa kuna mila hazitumii jeneza kama kibebeo cha wafu..lakini pia pengine kwangu sikuona shida kutokana na kuyazoea hayo madude na kuona ni kama kasha tu
 
Lingine BabaDesi ni hili la kutumia jeneza lenye alama za imani fulani na kuacha kutumia lenye alama za imani nyingjne

Wote tunatambua uhuru ulioko kwenye imani hizo mbili
Moja inaamini Mungu ndio anahukumu kwahiyo hawana shida na mtu akiichezea.. Huku imani nyingine ikiamini kuwa waumini na waamini ndio wanapaswa kuilinda na kuipigania imani yao...TOFAUTI IKO HAPO
 
Maamuzi ya BASATA

JENEZA LAMPONZA TUNDA MANI

Taarifa za kuaminika zilizotufikia msanii wa bongo freva maarufu kama Tunda mani atafungiwa na basata takribani miezi 6 kujihusisha na mambo ya mziki na kulipa faini kutokana na kitendo alichokifanya kwenye Simba day 8/8/2022

Tunda mani kwenye tamasha hilo aliingia uwanjani na ubunifu usiofaa kwa jamii ikiwemo kuwekwa ndani ya jeneza na kufunikwa kama maiti ikiambatanishwa na msalaba, tukio hilo limewashtua viongozi mbalimbali wa kidini na kusema huo ni upotoshaji kwa jamii inayotuzunguka pia ni uzalilishaji kwa dini ya kikiristo.

Kampuni ya kurusha matangazo Azam media group nayo itapewa onyo au kulipa faini kwa kosa la kurusha matangazo hayo live.
Screenshot_20220809-160834.jpg
 
Hofu ni kitu kibaya sana.. Inaua kimwili na kiroho pia, inafubaza akili na kufisha ndoto nyingi sana.. Ukiweza kuishinda hofu
Hiyo para ya mwisho kumhusu Mandonga mtu kazi imekosha na kunikumbusha hili hapa
FB_IMG_1660041513180.jpg
FB_IMG_1660042146153.jpg
 
Hivi kwanini wahusika hawakubeba 'Jeneza' la kiislamu na kuigiza kama mashekh badala yake wakaigiza kama mazishi ya kikristo?
Ukristo ndio dini ya kuchezewachezewa, huoni hadi mavideo ya muziki yanafanyika huko? Ila sasa kidogo wameanza kuamka
 
...Kweli. Na Mimi ni Simba lakini siikupenda 'Ubunifu' wa Kijinga wa Jana wa Kubeba Jeneza.
Na kama Ndugu yangu Mshana umefikia Hatua ya Kuunga Mkono Ujinga Ule, unakosea Sana.
Watu hawana Unachosema ni 'HOFU' Jeneza, la hasha. Wenye Akili wanajiuliza Kwa 'Ubunifu' uwe Kwa Wakristo TU Kwa kubeba Jeneza na kutanguliwa na Msalaba na Vazi la HESHIMA la Padri wa Kikristo!
Ili ajue 'Ubunifu' wake ni Ujinga, Mhusika angeingia na Mavazi ya Shekhe na lile Jeneza la Kubebea Maiti la Msikitini!
Pasingekalika!
Haya mnayaruhusu wenyewe wakristo
 
Maamuzi ya BASATA

JENEZA LAMPONZA TUNDA MANI

Taarifa za kuaminika zilizotufikia msanii wa bongo freva maarufu kama Tunda mani atafungiwa na basata takribani miezi 6 kujihusisha na mambo ya mziki na kulipa faini kutokana na kitendo alichokifanya kwenye Simba day 8/8/2022

Tunda mani kwenye tamasha hilo aliingia uwanjani na ubunifu usiofaa kwa jamii ikiwemo kuwekwa ndani ya jeneza na kufunikwa kama maiti ikiambatanishwa na msalaba, tukio hilo limewashtua viongozi mbalimbali wa kidini na kusema huo ni upotoshaji kwa jamii inayotuzunguka pia ni uzalilishaji kwa dini ya kikiristo.

Kampuni ya kurusha matangazo Azam media group nayo itapewa onyo au kulipa faini kwa kosa la kurusha matangazo hayo live.View attachment 2319147
Hii nchi inavituko sana ule ni ubunifu,basi movie za kibongo wasiigize majeneza,music videos zisiigize hivyo,haya yule alieshika bundiki feki na yeye jeshi la polisi litoe tamko?kuna wakati lady gaga alitengeneza vazi la nyama ya ng'ombe akatumbuiza..sioni kosa lolote pale hajadhihaki dini ya mtu ila ni kazi ya sanaa,joti nae apigwe marufuku kuigiza kama mwanamke anadhihaki wanawake..propaganda hizo,wachungaji wangejikita sana kuhubiri wokovu na kuwaelimisha watu wasiogope kifo maana ndo njia hiyo
 
JamiiForums-1690272189.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fake funerals, chicken crucifixions and joke processions: they're just a part of Italian football culture
Sampdoria fans are delighted with their rivals' demise

It's a good feeling to win, but it's not the best. It's so much better to watch your opponents crash and burn. Well, at least that's the conclusion you'd come to after taking a stroll through the streets of Genoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hofu ni kitu kibaya sana.. Inaua kimwili na kiroho pia, inafubaza akili na kufisha ndoto nyingi sana.. Ukiweza kuishinda hofu umewin maisha katika nyanja nyingi sana

Ni wazi kuna upande haukufurahishwa kabisa na mafanikio ya SIMBA day jana, kuanzia mpangilio wa shughuli, mahudhurio mpaka ushindi mnono wa goli mbili dhidi ya waalikwa

Wenye kutafuta sababu wanaojifanya ni wana SIMBA wanajaribu kutengeneza dosari mbalimbali kama hizi
. Ni bonanza tu
. Tumealika timu mbovu
. SIMBA eti ilibebwa
. Na kali kuliko yote ambayo ndio imefanikiwa kuzua mjadala ni 'jeneza'
Kwamba mafanikio ya SIMBA day yametiwa dosari na hilo jeneza ! HOFU!... Nimejaribu kujiuliza dosari ni ipi kati ya mtani aliyepigwa mbili bila ama SIMBA aliyeshinda mbili bila?

Jeneza ni kiashiria cha umauti ama kifo, ni kiwakilishi cha huzuni na majonzi na simanzi... Msanii anapotumia jeneza kama nyenzo ya kufikisha ujumbe tarajiwa hana maana nyingine zaidi ya hizo hapo juu

Waandishi hutumia neno KUUA inapotokea timu moja imeshinda... Kwenye lahaja za lugha kuna viwakilishi vya maneno na kuna viwakilishi vya alama na kuna viwakilishi vya vikaragosi ama michoro picha

Mfungaji anapofunga goli hutumia vidole vya mikono yake kuonesha alama ya kukata shingo.. Tafsiri yake hapa ni kuua..lakini si kwa maana ile ya kuondosha uhai

Juzi kati hapa mwana masumbwi Madongo aliyepoteza pambano round ya nne alijaribu vilivyo kupeleka hofu kwa mpinzani wake kwa tambo mbalimbali na hata kutumia neno kuua.. Lakini mpinzani wake hakubabaika na kilichotokea wote tulikiona.

Mifano ni mingi lakini itoshe tu kusema 'jeneza' la SIMBA ilikuwa ni sehemu ya sanaa na kunogesha shughuli nzima..hakuna dosari iliyotiwa wala hakuna kanuni iliyovunjwa...

View attachment 2318711
Kwenye picha yako tadsiri ilikuwa ni dini gani hapo zingatia viashiria

Kijana mshana ukue buana
 
Kwenye picha sioni alama za kiislamu wala ukristo

Kwa huyo mpuuzi wenu umeona msalaba majoho bible
Vyote ni ukristo

Mshana jamaa ni Muslim mngewek manyota na mwezi kwan nani angelaumu?
 
Mhusika angeingia na Mavazi ya Shekhe na lile Jeneza la Kubebea Maiti la Msikitini!
Pasingekalika!
BabaDesi pole sana kwa kukwazwa na maoni yangu .. Sijaona shida sana kwenye hili kwakuwa si tukio la kwanza kufanyika hapa nchini, hasa kwenye siasa na soka.. Hizi timu mbili zimeshabebeana sana majeneza na CCM na CHADEMA hivyo hivyo ila sikuwahi kuona hilo likizua mijadala kiasi hiki mitandaoni kama hili la jana la SIMBA
Sasa hivi tumeacha kabisa kujadili mafanikio ya SIMBA day wote tumetekwa na segment ndogo ya jeneza na hii ndio azma waliyoitaka watani wa SIMBA....

Na ishu ya jeneza sio viral kivile kwakuwa kuna mila hazitumii jeneza kama kibebeo cha wafu..lakini pia pengine kwangu sikuona shida kutokana na kuyazoea hayo madude na kuona ni kama kasha tu
Hapa suala sio jeneza peke yake kama unavyotaka tuamini. Kilicho wakera watu ni ile kugeuza suala zima kuwa la kidini kwa kuwa na mtu aliyevaa kama padri hasa ukizingatia kuwa mhusika ni muislamu. Sidhani kama watu wangelalamika kiasi hiki kama angetumia sanda na mkeka au jeneza kama ishara ya maziko.
Shabiki akifanya kituko inaeleweka. Lakini hatutegemei vituko kama hivyo vifanywe na mtu aliyekuwa katika formal programme. Matusi ya nguoni ni sehemu za lugha za mashabiki lakini hatutegemei lugha hizo zitumike na wageni maalum wa klabu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom