'Jeneza' la Simba: Fear of the unknown

'Jeneza' la Simba: Fear of the unknown

Hapa suala sio jeneza peke yake kama unavyotaka tuamini. Kilicho wakera watu ni ile kugeuza suala zima kuwa la kidini kwa kuwa na mtu aliyevaq kama padri hasa ukizingatia kuwa mhusika ni muislamu. Sidhani kama watu wangelalamika kiasi hiki kama angetumiwa sanda na mkeka au jeneza kama ishara ya maziko.
Shabiki akifanya kituko inaeleweka. Lakini hatutegemei vituko kama hivyo vifanywe na mtu aliyekuwa katika formal programme. Matusi ya nguoni ni sehemu za lugha za mashabiki lakini hatutegemei lugha hizo zitumike na wageni maalum wa klabu.

Amandla...
Fundi Mchundo let's be true n realistic kwenye hili... Hivi ni kweli kabisa waliolalamika wote ni watakatifu na hawwtendi dhambi na kwamba wanaipenda sana imani yao na kufuata misingi na kanuni zake zote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa ni watakatifu peke yao ndio wana haki ya kulalamika basi hamna ambae angelalamika. Hapa suala si utakatifu wa mtu bali ni la common decency na etiquette.

Mtu ukijamba ukiwa mezani na wenzako ni lazima watakusema ingawa wao pia huwa wanajamba. Utasemwa si kwa sababu umejamba bali kwa sababu umefanya hivyo katika sehemu ambayo tamaduni haziruhusu watu kujamba.

Amandla...
 
Hofu ni kitu kibaya sana.. Inaua kimwili na kiroho pia, inafubaza akili na kufisha ndoto nyingi sana.. Ukiweza kuishinda hofu umewin maisha katika nyanja nyingi sana

Ni wazi kuna upande haukufurahishwa kabisa na mafanikio ya SIMBA day jana, kuanzia mpangilio wa shughuli, mahudhurio mpaka ushindi mnono wa goli mbili dhidi ya waalikwa

Wenye kutafuta sababu wanaojifanya ni wana SIMBA wanajaribu kutengeneza dosari mbalimbali kama hizi
. Ni bonanza tu
. Tumealika timu mbovu
. SIMBA eti ilibebwa
. Na kali kuliko yote ambayo ndio imefanikiwa kuzua mjadala ni 'jeneza'
Kwamba mafanikio ya SIMBA day yametiwa dosari na hilo jeneza ! HOFU!... Nimejaribu kujiuliza dosari ni ipi kati ya mtani aliyepigwa mbili bila ama SIMBA aliyeshinda mbili bila?[emoji23]

Jeneza ni kiashiria cha umauti ama kifo, ni kiwakilishi cha huzuni na majonzi na simanzi... Msanii anapotumia jeneza kama nyenzo ya kufikisha ujumbe tarajiwa hana maana nyingine zaidi ya hizo hapo juu

Waandishi hutumia neno KUUA inapotokea timu moja imeshinda... Kwenye lahaja za lugha kuna viwakilishi vya maneno na kuna viwakilishi vya alama na kuna viwakilishi vya vikaragosi ama michoro picha

Mfungaji anapofunga goli hutumia vidole vya mikono yake kuonesha alama ya kukata shingo.. Tafsiri yake hapa ni kuua..lakini si kwa maana ile ya kuondosha uhai

Juzi kati hapa mwana masumbwi Madongo aliyepoteza pambano round ya nne alijaribu vilivyo kupeleka hofu kwa mpinzani wake kwa tambo mbalimbali na hata kutumia neno kuua.. Lakini mpinzani wake hakubabaika na kilichotokea wote tulikiona.

Mifano ni mingi lakini itoshe tu kusema 'jeneza' la SIMBA ilikuwa ni sehemu ya sanaa na kunogesha shughuli nzima..hakuna dosari iliyotiwa wala hakuna kanuni iliyovunjwa...

View attachment 2318711
Nzuri
 
Wewe mzee unazeeka vibaya...

jeneza, mfano wa viongozi wa dini, bibilia, na msalaba vyote vimetumika kwa pamoja , na mbaya zaidi wote waliofanya hayo ni waislamu.

huoni kama kuna sintofahamu?
 
Wewe mzee unazeeka vibaya...

jeneza, mfano wa viongozi wa dini, bibilia, na msalaba vyote vimetumika kwa pamoja , na mbaya zaidi wote waliofanya hayo ni waislamu.

huoni kama kuna sintofahamu?
Yaheshimu maoni yangu tafadhali ..! Hatuwezi kufanana mitazamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa ni watakatifu peke yao ndio wana haki ya kulalamika basi hamna ambae angelalamika. Hapa suala si utakatifu wa mtu bali ni la common decency na etiquette.

Mtu ukijamba ukiwa mezani na wenzako ni lazima watakusema ingawa wao pia huwa wanajamba. Utasemwa si kwa sababu umejamba bali kwa sababu umefanya hivyo katika sehemu ambayo tamaduni haziruhusu watu kujamba.

Amandla...
Screenshot_20220811-082849.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MlichoFANYWA mwanza na dar mtaFANYWA hivyo hivyo . kimoja tu 😂😂😂😂
Utakuwa VIP au viti vya mzunguko bwashee nikutafutie Dr wa kukurudishia pumzi baada ya mtanange kwisha?

Jibu plz kwa usalama wako
 
Back
Top Bottom