Jenerali Ulimwengu: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu

Askofu wa Chadema Benson Bagonza nae ana kiherehere sana, si agombee tu ubunge maana kaacha kutoa verses za dini sasa kazi yake ni siasa kila kukicha. Benson hajui yeye ni askofu, kachanganikiwa, sasa ni mwanasiasa wa Chadema. Anakesha kutunga sentensi na tungo tata za siasa against CCM tu.
Hivi kumbe na wewe ni CCM.No wonder hatuna CCM mwenye akili zake
 
Katika academic world, akili unaipima kwa number of publications in peer reviewed journals and journal ranking...uki publish kwenye Nature, Science and the like, then wewe una akili. Au wasemaje Mchunguzi
Nakurudisha huko huko kwenye akademia. Kuna mtu alipata Nobel prize akiwa na publication 2 tu, tena za sayansi mpya duniani, Physical Chemistry! Lakini kuna watu wana publication 100 hawajawahi hata kupendekezwa kupata prize hiyo. Ni ishara kwamba sehemu kubwa ya publications ni rubbish!
 
Unategemea nini....yaani wananchi walikwepesha vifo baada ya mapinduzi ya kura zao. Kwa uzuri na ubora gani CCM kupita 99.8% kura za ubunge na udiwani.
 
Ulimwengu anapaswa astaafu na apumzike. Yeye alishakuwa kiongozi mkubwa serikalini na hakuna alichofanya na vizazi vya eneo husika kumkumbuka. Ni sawa na Jaji Waryoba..wapiga kelele. Askofu anapenda kick na makofi.
Sio level yako mkuu,wewe kawasome kina Kibajaj Lusinde!
 
Huyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Wiki hii ulianza kutoa maoni mazuri lkn naona unarudi kule kule.
Ukabila Ni Kama kula nyama ya mtu. Hutaacha.
Mipaka ya Tanzania ilitengenezwa Berlin, isingekua rahisi kwa mabeberu mwaka huo 1885 kusema wahutu wote ondokeni hapa au wamasai tupisheni au wadigo ondokeni tunataka kuweka mpaka.
 
Ulimwengu anapaswa astaafu na apumzike. Yeye alishakuwa kiongozi mkubwa serikalini na hakuna alichofanya na vizazi vya eneo husika kumkumbuka. Ni sawa na Jaji Waryoba..wapiga kelele. Askofu anapenda kick na makofi.
Wewe ni kilaza
 
MWANDISHI wa Habari Mkongwe, Jenerali Ulimwengu leo Septemba 21,2021 amezindua Kitabu chake RAI YA JENERALI jijini Mwanza na kuhudhuriwa na Askofu Benson Bagonza.

𝗛𝗔𝗬𝗔 𝗡𝗜 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗔𝗪𝗔𝗟𝗜𝗬𝗢𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗨𝗭𝗜𝗡𝗗𝗨𝗭𝗜 𝗛𝗨𝗢....

"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu" - Jenerali Ulimwengu

"Hakuna uwezekano wa kizazi chetu kupata maendeleo na kupiga hatua ikiwa kitaendelelea kufundishwa kwa lugha wasioijua na pia wale wanaowafundisha nao hawaijui hiyo lugha"- Jenerali Ulimwengu

"Hakuna swali la kijinga ila majibu ndo ya kijinga"- Jenerali Ulimwengu

𝗔𝘀𝗸𝗼𝗳𝘂 𝗕𝗲𝗻𝘀𝗼𝗻 𝗕𝗮𝗴𝗼𝗻𝘇𝗮

"Mwalimu Nyerere aliwahi kusema marais wazuri waongoze kwa vipindi viwili ili waondoke na uzuri wao, lakini marais wabaya wao wataondolewa na wananchi" - Askofu Bagonza

"Tabia ya watu kusifia viongozi waliopo madarakani kufanywe kama kosa la jinai ili kupunguza watu kujipendekeza kwa viongozi kupata uongozi"- Askofu Bagonza

"Watanzania wanahitaji katiba yenye uwezo wa kuweka na kuwaondoa viongozi madarakani badala ilivyo kwa sasa" - Askofu Bagonza

"Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu"- Askofu Bagonza

"Tunaupungufu mkubwa katika Taifa letu la watu wenye Fikra na Uthubutu; Wapo wenye Uthubutu lakini hawana Fikra, kuna watu unawaona wana Fikra lakini hawana Uthubutu. Makundi haya yanahitaji daraja kuyaunganisha" - Askofu Bagonza

"Aslimia 60 ya wabunge wa CCM waliopo bungeni kwa sasa hawakushinda kura za maoni ndani ya chama chao, hata wanachama wao wanajua na wanaona kabisa hawakuwachagua na hivyo wanaona siyo wa wabunge wao"- Askofu Bagonza

"Bunge la sasa lina utata, kuna mabunge mawili (2), moja lipo mdomoni mwa watu na lingiine lipo mioyoni mwa watu," -Askofu Bagonza

Chanzo; Nipashe Mwanga Wa Jamii #NipasheHabari
Hivi huyu Askofu Bagonza anawahudumia kweli wale watoto wake wa nje ya ndoa?
 
Nakurudisha huko huko kwenye akademia. Kuna mtu alipata Nobel prize akiwa na publication 2 tu, tena za sayansi mpya duniani, Physical Chemistry! Lakini kuna watu wana publication 100 hawajawahi hata kupendekezwa kupata prize hiyo. Ni ishara kwamba sehemu kubwa ya publications ni rubbish!
Kama unapublish kwenye journal ya impact factor ya 2, then......

Nimesena journal ranking, read between lines
 
Nakurudisha huko huko kwenye akademia. Kuna mtu alipata Nobel prize akiwa na publication 2 tu, tena za sayansi mpya duniani, Physical Chemistry! Lakini kuna watu wana publication 100 hawajawahi hata kupendekezwa kupata prize hiyo. Ni ishara kwamba sehemu kubwa ya publications ni rubbish!
Uwe unaelewa Mambo na wewe, Nobel criteria ya kupata Ni ipi? Discovery , a breakthrough Discovery.... Hivyo hata publication Moja inatosha, au hata presentation katika World class international conferences of your Discovery inatosha to be rewarded so
 
Nakurudisha huko huko kwenye akademia. Kuna mtu alipata Nobel prize akiwa na publication 2 tu, tena za sayansi mpya duniani, Physical Chemistry! Lakini kuna watu wana publication 100 hawajawahi hata kupendekezwa kupata prize hiyo. Ni ishara kwamba sehemu kubwa ya publications ni rubbish!
Watu waliosoma sayansi wanetuambia chanjo ya c-19 ni salama tumewbishia ameibuka mtu ambaye hakusoma sayansi katuambia chanjo haifai tumemwamini!! Sasa si afadhali asiyesoma sayansi anaamiwa Tanzania!!
 
Hilo nalo neno. Ndio hao idea tatu kwa milioni 60... Watanzania
 
Watu waliosoma sayansi wanetuambia chanjo ya c-19 ni salama tumewbishia ameibuka mtu ambaye hakusoma sayansi katuambia chanjo haifai tumemwamini!! Sasa si afadhali asiyesoma sayansi anaamiwa Tanzania!!
Nimependa argument yako, Safi kabisa
 
Back
Top Bottom