behind every successful man there is a woman. Je huyu bwana ana mke? Jina lake nani na anakaa wapi? namuona jamaa kama yuko single hivi.
yule wife wa kwanza najua waliachana alikuwa Radio Tanzania Anaitwa Maria ulimwengu.
Gooooood!Anawatumikia watanzania -kama alihitaji jibu la swali tuu.
Sina imani naye hata kidogo tokea gazeti lake la Rai kwenye kampeni ya 2005 limchafue Salim na kumpamba JK na wengi walioshiriki walibarikiwa kupewa vyeo!! sio bure na siku hizi gazeti lake hili Raia limebadilika siyo lile la mwanzoni yetu macho!!!
Hilo la kumchafua Salim 2005 lilikuwa Rai la Ulimwengu au la Rostam Aziz?
behind every successful man there is a woman. Je huyu bwana ana mke? Jina lake nani na anakaa wapi? namuona jamaa kama yuko single hivi.
yule wife wa kwanza najua waliachana alikuwa Radio Tanzania Anaitwa Maria ulimwengu.
Kila linapoletwa jina hapa ni vizuri kuzingatia vitu vichache na vya msingi, kama vile
1. Huyo ni nani
2.Nini msimamo wake katika ujenzi wa taifa hili
3. Nini mchango wake katika utaifa wetu
4.Itatusidia nini kama wana jamii kumjadili kwa kina.
5. Unachoandika kina ukweli wa kutosha?
6. Huna chuki au hasira binafsi kutokana na kufahamiana kwenu?
KAMA HATUTAZINGATIA HAYO, HII FORUM ITAGEUKA KUWA ZE UTAMU. Sehemu ya kudamage personality za watu. Mfano. Mtu kama salva au mkapa (kama wapo humu) hawawezi kumwongelea vizuri Jenerali. Mfano, Swala la ana mke linahusika vipi hapa? tukienda huko ndiyo tutaanza kupost picha za wapenzi wake hapa, je? hapa ni mahali pake? Nawaomba tuwe waangalifu na hayo wana jf
Mimi nadhani kuna mambo mawiri; maisha na ukweli sasa kama ukweli unakuharibia maisha unajaribu kuukimbiya. Lakini kama unawapamba mafisadi mimi naona ni bora kukaa kimya kama unahofu maisha yako, kuliko kuwatukuza.
hapo kwa kichaga ni ndizi mbivu za kutengenezea mbege!
Nakubaliana nawe kwa sehemu kubwa. Dhambi ya kumbagua Salim kama ilifanywa na Jenerali anastahili kulaumiwa (kulaaniwa kama asemavyo Seleli). Lakini nakumbuka kilichofanywa na Rai wakati ule ni kumbeba JK. Aliyefanya hivyo ni Salva na wote tumeona. Sasa hivi salva na Jenerali hawaivi.
Dhambi ya kumbagua Salim ingali inaitafuna serikali ya JK. Patachimbika mpaka watubu hiyo dhambi.
Sasa kuhusu Raia Mwema kubadilika, naomba kutofautiana kidogo. Hili ni gazeti ambalo mpaka sasa limebaki bila harufu ya itikadi wala kutumwa na mwanasiasa yeyote. Aliye na data tofauti na msimamo huu, amwage tuone.