Jenerali Ulimwengu amepitwa na wakati; Huu sio muda wa harakati za kisiasa

Hivi mnafikiri vikao vilianzia duniani? Yani Mungu ambae ni perfect kwenye kila kitu siku anamuumba mwanadamu alikaa na kusema “ Na tumuumbe mtu kwa sura yetu na mfano wetu”. Maana yake alikaa kikao. Na siku ya kuamua nani aje kumkomboa mwanadamu akakaa kikao tena mbinguni. Na kuuliza “ Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu?”. Pia mwishoni kikao cha Mungu na viumbe vyote wakati anakitoa kitabu chenye mapigo saba ya mwisho. Kwa hiyo Mungu ni mjinga hata kuitisha kikao? Hasha lakini yupo asikiliza hekima ya viumbe wake. Je Samia ni nani asiyetaka ushauri?. Daudi anasema ushauri wa Ahitophel ulikua mzuri mno mpaka Daudi akaogopa mwanae atafanikiwa kwa sababu ya ushauri wake.
Acheni tuongee tuone namna ya kulivusha Taifa. Hamna suluhisho la matatizo yetu yote nyie wenyewe. Hata sisi tumebeba mbaraka na suluhisho la matatizo yetu kila mmoja la sivyo tusingalizaliwa Tanzania
 
Imbecile...
 
Kweli, enzi za midahalo zimepita sasa ni uchawa mtindo mmoja kama ulivyo wewe
 
Ni kweli, vijana wa siku hizi mko kwenye uchawa, kubeti na ushoga.
 
Halafu hata kwa kumtizama tu kwa macho anaonekana huyo Jenerali wenu ni mnafiki na mshambamshamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…