masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,901
- 13,196
Ni Zitto kulia, Zitto kushoto,Zitto juu na Zitto chini.
Alimradi tunasikia habari za Zitto, asubuhi mchana na jioni.
habari zenyewe hazitii moyo wala kuonyesha umakini kwa kijana huyu aliyesifika.
Kwamba mambo yote aliyoibua yana walakin au hazina ukweli kabisa zinaanza kuonyesha taswira halisi ya kijana huyu ambaye aliwahi kuwa kipenzi cha vijana.
Kuna wakati alipoanza kukengeuka back bencher machachari wa CCM ambaye sasa ni waziri, ndg Mwakyembe aliwahi kuuliza;
"ni huyu Zitto tunayemfahamu au fotocopy?"
Taswira inayojitokeza ya Zitto si nzuri, na hakuna kumung'unya maneno.
Je ni muongo, mpenda sifa, hana ushirikiano , mpiga majungu au ni mtu wa aina gani huyu.
Siasa huwa haina huruma, kama Zitto hana majibu kwa tuhuma mbali mbali zinazomkabili ata go down in history as a mediocre politician.
Zitto umetetewa sana humu jamvini sasa ni wakati wa kujitete mwenyewe!!!