Je, Zitto ni bomu lililo expire?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,170
Ni Zitto kulia, Zitto kushoto,Zitto juu na Zitto chini.
Alimradi tunasikia habari za Zitto, asubuhi mchana na jioni.
habari zenyewe hazitii moyo wala kuonyesha umakini kwa kijana huyu aliyesifika.

Kwamba mambo yote aliyoibua yana walakin au hazina ukweli kabisa zinaanza kuonyesha taswira halisi ya kijana huyu ambaye aliwahi kuwa kipenzi cha vijana.

Kuna wakati alipoanza kukengeuka back bencher machachari wa CCM ambaye sasa ni waziri, ndg Mwakyembe aliwahi kuuliza;
"ni huyu Zitto tunayemfahamu au fotocopy?"

Taswira inayojitokeza ya Zitto si nzuri, na hakuna kumung'unya maneno.
Je ni muongo, mpenda sifa, hana ushirikiano , mpiga majungu au ni mtu wa aina gani huyu.

Siasa huwa haina huruma, kama Zitto hana majibu kwa tuhuma mbali mbali zinazomkabili ata go down in history as a mediocre politician.

Zitto umetetewa sana humu jamvini sasa ni wakati wa kujitete mwenyewe!!!
 
Wewe mpaka unaanzisha thread tayari mindset yako iko kwa zitto

kila mtu anapokea anavyoona, usilazimishe watu kuwaza kama wewe na usiweke mawazo yako ukaona yatakubaliwa

1. oscar kambona alitengwa na jamii ya kitanzania, akaitwa msaliti, mhahini, na kila neno baya na akina Nyerere aliitwa majina yote mabaya, kwa kuwa kinyume tu na mawazo ya Nyerere 'Kambona is a president we never had'' mpaka miaka ya 90ndio watu wanakuja kugundua ukweli, Nyerere did all he cluld kumzisha kambona

2. The same applies kwa aboud Jumbe, ambaye mawazo yake, ndiyo yametolewa leo hii na tume ya katiba enzi hizo aliitwa msaliti na mpaka kuwekwa kizuizini kigamboni

3. akina Kikwete na Lowassa iliwachukua miaka kumi kuingia ikulu na waliwachafua watu wengi sana, mmoja wapo ni salimu ahmed salimu ''another missed president that Tanzania never had''

List inaendelea tena na tena

kibaya zaidi hao top leader wanasema tume ''mfix'

kwa akili zako hauwazi ufisadi unaoendelea ndani ya chadema ............umefunikwa na mahaba yako kwa hao, na umefunikwa na chuki zako kwa zito

tuhuma za zitto kuwa msaliti zimeanzia 2009 tangu alipotaka kugombea uenyekiti

this happened and goes one mpaka leo AMETENGENEZEWA na jamii imeaminishwa hivyo, ukweli utaja gundulika miaka ijayo, when is too late, mafia are working nicely kwenye kupata hela

Vyama vya siasa lazima haya tutayaona sana kwa sababu ia one of biggest money OUTLET
 
Ni Zitto kulia, Zitto kushoto,Zitto juu na Zitto chini.
Alimradi tunasikia habari za Zitto, asubuhi mchana na jioni.
habari zenyewe hazitii moyo wala kuonyesha umakini kwa kijana huyu aliyesifika.

Kwamba mambo yote aliyoibua yana walakin au hazina ukweli kabisa zinaanza kuonyesha taswira halidi ya kijana huyu ambaye aliwahi kuwa kipenzi cha vijana.

Kuna wakati alipoanza kukengeuka back bencher machachari wa CCM ambaye sasa ni waziri, ndg Mwskyembe aliwahi kuuliza;
"ni huyu Zitto tunayemfahamu au fotocopy?"

Taswira inayojitokeza ya Zitto si nzuri, na hakuna kumung'unya maneno.
Je ni muongo, mpenda sifa, hana ushirikiano , mpiga majungu au ni mtu wa aina gani huyu.

Siasa huwa haina huruma, kama Zitto hana majibu kwa tuhuma mbali mbali zinazomkabili ata go down in history as a mediocrd politician.

Zitto umetetewa szna humu jamvini sasa ni wakati wa kujitete mwenyewe!!!

fair observation
 
Afadhali tumelijua HILO BOMU kabla ya kulipuka likiwa linaiongoza NCHI yetu... GOD is GREAT !!!
 
Ni Zitto kulia, Zitto kushoto,Zitto juu na Zitto chini.
Alimradi tunasikia habari za Zitto, asubuhi mchana na jioni.
habari zenyewe hazitii moyo wala kuonyesha umakini kwa kijana huyu aliyesifika.

Kwamba mambo yote aliyoibua yana walakin au hazina ukweli kabisa zinaanza kuonyesha taswira halidi ya kijana huyu ambaye aliwahi kuwa kipenzi cha vijana.

Kuna wakati alipoanza kukengeuka back bencher machachari wa CCM ambaye sasa ni waziri, ndg Mwskyembe aliwahi kuuliza;
"ni huyu Zitto tunayemfahamu au fotocopy?"

Taswira inayojitokeza ya Zitto si nzuri, na hakuna kumung'unya maneno.
Je ni muongo, mpenda sifa, hana ushirikiano , mpiga majungu au ni mtu wa aina gani huyu.

Siasa huwa haina huruma, kama Zitto hana majibu kwa tuhuma mbali mbali zinazomkabili ata go down in history as a mediocrd politician.

Zitto umetetewa szna humu jamvini sasa ni wakati wa kujitete mwenyewe!!!
Kweli CDM ni chama ambacho hakibahatishi kwenye maamuzi
 
Wewe mpaka unaanzisha thread tayari mindset yako iko kwa zitto

kila mtu anapokea anavyoona, usilazimishe watu kuwaza kama wewe na usiweke mawazo yako ukaona yatakubaliwa

1. oscar kambona alitengwa na jamii ya kitanzania, akaitwa msaliti, mhahini, na kila neno baya na akina Nyerere aliitwa majina yote mabaya, kwa kuwa kinyume tu na mawazo ya Nyerere 'Kambona is a president we never had'' mpaka miaka ya 90ndio watu wanakuja kugundua ukweli, Nyerere did all he cluld kumzisha kambona

2. The same applies kwa aboud Jumbe, ambaye mawazo yake, ndiyo yametolewa leo hii na tume ya katiba enzi hizo aliitwa msaliti na mpaka kuwekwa kizuizini kigamboni

3. akina Kikwete na Lowassa iliwachukua miaka kumi kuingia ikulu na waliwachafua watu wengi sana, mmoja wapo ni salimu ahmed salimu ''another missed president that Tanzania never had''

List inaendelea tena na tena

kibaya zaidi hao top leader wanasema tume ''mfix'

kwa akili zako hauwazi ufisadi unaoendelea ndani ya chadema ............umefunikwa na mahaba yako kwa hao, na umefunikwa na chuki zako kwa zito

tuhuma za zitto kuwa msaliti zimeanzia 2009 tangu alipotaka kugombea uenyekiti

this happened and goes one mpaka leo AMETENGENEZEWA na jamii imeaminishwa hivyo, ukweli utaja gundulika miaka ijayo, when is too late, mafia are working nicely kwenye kupata hela

Vyama vya siasa lazima haya tutayaona sana kwa sababu ia one of biggest money OUTLET

Weka picha
 
Mwambie Zitto ajifunze maana ya neno TEAM WORK. Kwenye Siasa huwezi kupigana peke yako.

Mwenyewe alijitenga kutoka CDM na hakuna aliyemtenga. Alifikiri kwenye Siasa ni LELEMAMA. Ati nataka kuwa Rais wa JMT na nina kila sababu..... umebugi Meeen. Angelikuwa CDM, haki ya nani leo hii wote sisi tungelikuwa tunakula sahani moja na Werema. Ila acha ajifunze kuheshimu wakubwa wake na kuwa usaliti ni mbaya sana.

SemKONDOM imeshatupwa jalalani maana hadi Faizafoxy na Masopakyindi wanamshambulia - MAAJABU maana ni Muislaam mwenzake (FF).
Wewe mpaka unaanzisha thread tayari mindset yako iko kwa zitto

kila mtu anapokea anavyoona, usilazimishe watu kuwaza kama wewe na usiweke mawazo yako ukaona yatakubaliwa

1. oscar kambona alitengwa na jamii ya kitanzania, akaitwa msaliti, mhahini, na kila neno baya na akina Nyerere aliitwa majina yote mabaya, kwa kuwa kinyume tu na mawazo ya Nyerere 'Kambona is a president we never had'' mpaka miaka ya 90ndio watu wanakuja kugundua ukweli, Nyerere did all he cluld kumzisha kambona

2. The same applies kwa aboud Jumbe, ambaye mawazo yake, ndiyo yametolewa leo hii na tume ya katiba enzi hizo aliitwa msaliti na mpaka kuwekwa kizuizini kigamboni

3. akina Kikwete na Lowassa iliwachukua miaka kumi kuingia ikulu na waliwachafua watu wengi sana, mmoja wapo ni salimu ahmed salimu ''another missed president that Tanzania never had''

List inaendelea tena na tena

kibaya zaidi hao top leader wanasema tume ''mfix'

kwa akili zako hauwazi ufisadi unaoendelea ndani ya chadema ............umefunikwa na mahaba yako kwa hao, na umefunikwa na chuki zako kwa zito

tuhuma za zitto kuwa msaliti zimeanzia 2009 tangu alipotaka kugombea uenyekiti

this happened and goes one mpaka leo AMETENGENEZEWA na jamii imeaminishwa hivyo, ukweli utaja gundulika miaka ijayo, when is too late, mafia are working nicely kwenye kupata hela

Vyama vya siasa lazima haya tutayaona sana kwa sababu ia one of biggest money OUTLET
 
Ni vema tukaongea huku tukibakiza siku ambapo zitto ataamua kujiachia kuzungumza mapungufu ya chadema hasa mbowena slaa lazima watu watakimbiana hasa chadema.
 
Ni Zitto kulia, Zitto kushoto,Zitto juu na Zitto chini.
Alimradi tunasikia habari za Zitto, asubuhi mchana na jioni.
habari zenyewe hazitii moyo wala kuonyesha umakini kwa kijana huyu aliyesifika.

Kwamba mambo yote aliyoibua yana walakin au hazina ukweli kabisa zinaanza kuonyesha taswira halidi ya kijana huyu ambaye aliwahi kuwa kipenzi cha vijana.

Kuna wakati alipoanza kukengeuka back bencher machachari wa CCM ambaye sasa ni waziri, ndg Mwskyembe aliwahi kuuliza;
"ni huyu Zitto tunayemfahamu au fotocopy?"

Taswira inayojitokeza ya Zitto si nzuri, na hakuna kumung'unya maneno.
Je ni muongo, mpenda sifa, hana ushirikiano , mpiga majungu au ni mtu wa aina gani huyu.

Siasa huwa haina huruma, kama Zitto hana majibu kwa tuhuma mbali mbali zinazomkabili ata go down in history as a mediocrd politician.

Zitto umetetewa szna humu jamvini sasa ni wakati wa kujitete mwenyewe!!!

Kama mpaka wewe leo umeandika haya basi ni dhahiri CCM imeamuwa kumtosa rasmi Zitto Kabwe.

Na avune alichopanda sasa, mwenye moyo mgumu na aendelee kusubili ndege bandarini.

Hii ni Bonafide genuine na madhara ya kuwa na washauri wabovu kama Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Hii hapa.....

Boyz+II+Men.jpg

Weka picha
 
chadema watakorogana sana mwaka huu kunasiku lazima watazichapa kavu kavu.
 
Tatizo ZZK alipata popularity mapema sana akataka kuilinda kwa gharama yoyote hata kuongopa sasa anaumbuka naamini he is gong down alone this time hakuna atakaemuamini hata kama atakua na jambo la kweli...tena waliomtumia ndo wanampeleka Kigoma mwisho wa reli safari hii maana hana kazi tena kama ganda la mua.
 
Kama mpaka wewe leo umeandika haya basi ni dhahiri CCM imeamuwa kumtosa rasmi Zitto Kabwe.

Na avune alichopanda sasa, mwenye moyo mgumu na aendelee kusubili ndege bandarini.

Hii ni Bonafide genuine na madhara ya kuwa na washauri wabovu kama Pasco.
Hii Miajuza ya CCM humu Jamvini ilikuwa inafikri CDM ilikuwa inabahatisha kumfukuza huyo Yuda Iskariot
 
Back
Top Bottom