Boss naomba nisaidie hii dawa, maana kimenitesa hadi uwezo wa kuona vizuri umefifia,Mimi pia alinisaidia sana kupona kipandauso kilichonisumbua miaka nenda rudi lakini siku moja aliponitajia mchanganyiko wa sawa nilipona siku hiyo hiyo niliyotumia sijui daftari langu la notes za mafundisho ya ndodi nani hata aliniibiaga maana nilikuwa naelekea kuwa mganga
Jamaa nilikuwa namfatilia sana RFA na EATV kwa vipindi vyake ila nimejifunza mambo mengi yenye manufaa kupitia kwake:-
1.kunywa maji nusu saa baada a kula
2.Vitunguu saumu dawa.
3.Dawa ya wasiopata choo - Juisi ya ukwaju
4.Dawa ya malaria na ulcers - Juice ya limao
5........
Mkuu naomba niifahamu kupitia wewe jino linasumbuaAmenisaidia mpka Leo hii ni najua dawa za jino na ninasaidia sana watu kijjn kwangu kwa tatizo lolote LA jino.endeleeni kuponda watu wanapona
Helen White anawalisha matango poriWacha kuhusisha kanisa LA Mungu na uchungaji wa Ndodi.Yeye ni msabato lakini hana uchungaji.
Nipatie hiyo dawaAmenisaidia mpka Leo hii ni najua dawa za jino na ninasaidia sana watu kijjn kwangu kwa tatizo lolote LA jino.endeleeni kuponda watu wanapona
Dawa ya sikio bangimkuu tusaidie na ssisi wengine mkuu ...jino na sikio..
Kulikuwa na mwingine akiitwa Mama Terry, nae alikuwa kiboko, huyu nadhani ndo wa kwanza kwa tiba mbadala akiwa ITV, kabla ya NdodiDr Ndodi nadhani ndo aliyehamasisha Hawa madokta wengi wa Tiba Mbadala.
unasem a kweli.mkuu au unatania??Dawa ya sikio bangi
Jamaa nilikuwa namfatilia sana RFA na EATV kwa vipindi vyake ila nimejifunza mambo mengi yenye manufaa kupitia kwake:-
1.kunywa maji nusu saa baada a kula
2.Vitunguu saumu dawa.
3.Dawa ya wasiopata choo - Juisi ya ukwaju
4.Dawa ya malaria na ulcers - Juice ya limao
5........
Andika muungano christian choir natembea marehemu, hope utaupataHivi ile kwaya iliyokuwa ikichezwa background RFA wakati wa kipindi chake, unaitwaje ule wimbo? naupenda mnooo. Nilikuwaga nafurahia pale tu unapoanza kusikika. Nilishautafuta ule wimbo bila mafanikio, nadhani ni wimbo wa AIC kwaya.
-Kaveli-
Andika muungano christian choir natembea marehemu, hope utaupata
CheersAhsante boss. cheers..
-Kaveli-
Ushauri wa Dr Ndodi ndio 'ulipromoti' unga wa dona, siku hizi Watu nane kati ya kumi wanakula ugali wa dona.
Wimbo mzuri ila sijui nani/kwaya gani wameimba.Hivi ile kwaya iliyokuwa ikichezwa background RFA wakati wa kipindi chake, unaitwaje ule wimbo? naupenda mnooo. Nilikuwaga nafurahia pale tu unapoanza kusikika. Nilishautafuta ule wimbo bila mafanikio, nadhani ni wimbo wa AIC kwaya.
-Kaveli-