Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

Msemaji yupo sawa. Ila mimi napingana na wewe kwa sababu umesema dona in general kitu ambacho kinaleta wasiwasi kwa yeyote atakayesoma hiyo post . Haujawa specific kwamba dona isipoandaliwa Vizuri au isipotunzwa vizuri inaleta sumukuvu/Aflatoxin hapo ndio nikawa nakurekebisha
 
Samahani mkuu, hilo neno (dona in general) umeliongeza wewe....
Asante
 
haaahaaahaa du we jamaa ndio umekuja na ushahidi wa picha kabisa. hapo katumia urefu lkn kamaanisha ufupi ndio maana aliweka alama hii '....'
Pamoja na kuweka hizo alama ni sahihi kuweka uthibitisho halisi maana jamii inaweuka siku hizi, mtu akisoma jambo hizo sanifu na alama mkato nk huwa zinapotea wkt wa kusoma.
 
Hafu Hawa kina Dr ndondi waliibuka enzi za kina Jakaya, Mara Dr Rahabu, Mara Dr. Mwaka Yani mtu anajiita Dr na hajaenda kusoma bachelor ya medicine Muhimbili na serikali Ina mchekea tu.
Bila kumsahau Mzee Ambilikile Mwasapile wa tiba ya kikombe kwa jero,kutoka pande za Samunge huko Liliondo.
 
Hahaha...hiyo inaitwa"Market Stimulation" yaani unaweza lima Bamia heka kibao...kisha ukaenda kutangaza kuwa zinaongeza "nguvu za kiume" ili kuongeza demand ya mazao yako wakija kushtuka si kweli,una nyumba mbezi beach..unaendesha V8 na mazaga kama yote...kifupi unakua ndo ushatoboa.
 
Pamoja na kuweka hizo alama ni sahihi kuweka uthibitisho halisi maana jamii inaweuka siku hizi, mtu akisoma jambo hizo sanifu na alama mkato nk huwa zinapotea wkt wa kusoma.
Kubali kuwa Ulikosea kumshambulia mtoa hoja kwamba ni muongo.
 
Nakumbuka alisema wanawake Wana upungufu wa nguvu za kike na ana tiba yake
Jamaa atakuwa hoi alitafuna sana sampuli nyingi mixer vvu akiamini tiba lishe, wahudumu mahotel na wateja wa kike.
 
Oleweni jamani, ata kama ulijiunga jf ukiwa kigori sasa hivi utakuwa uaneelekea kuzeeka kabisa
Mkuu wewe Kama umeoa na unaona umefanikiwa hongera Sana, Mimi bado nipo nipo Sana tunatofautiana vipaumbele, na Mimi nafurahi jinsi umri unavoongezeka maana Kuna wengi wa umri wangu hawapo duniani, kwanini nisifurahi kuzeeka jamani
 
Wanasema mahindi hayajawahi kuwa chakula cha binadamu, hayo yalisemwa na wagunduzi zamani kabla mahindi hayo hao hayajazaliwa maabara (GMO) sasa jiulize kama yale ya asili sio chakula cha binadamu je haya ya kisasa je?
 
Alikuwa anapinga vitambi na minyama uzembe sasa hivi yeye mwenyewe ana bonge tumbo.
 
Katiiiiiiiiiikaaaah

Nimekumbuka hicho kiitikio kwenye wimbo wa kipindi chake
 
Anatibiwa kupunguza kitambi somewhere na kijana aliyerithi mikoba yake..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…