Kwa mujibu wa Quran Mama yake Yesu ndiye Mwanamke Bora kuliko wanawake wote Duniani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeambatanisha video ikimnukuu Alhaj Dr Sulle akikiri kuwa Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo ndiye Mwanamke Bora kuliko wanawake wote Duniani

Nimeweka pia na Nukuu ya Kitabu cha Luka

41 - 42 ::Ikawa Elisabeti aliposikia kule kuamkia kwake Mariamu, kitoto kichanga kikaruka ndani ya tumbo lake; Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu; akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa::

Karibuni tujadili kwa heshima kubwa bila lugha zisizo na staha

Tembelea You tube Ili kusikiliza muhadhara wote uliotolewa na Alhaj Dr Sulle

Screenshot_20230309-141115.jpg

View attachment 2543103
 
View attachment 2543102
View attachment 2543103
Kwahiyo tujadili nini hapo? Tukanushe au ?
 
Ukichukua point moja baada ya nyingine kuhusu Yesu utagundua,swala la muislam kusema Yesu sio Mungu linatokana na kanuni ya dini(shahada)sio logic kwamba ni kweli Yesu hakuwa Mungu.

Ndio sababu muislam atakuuliza kwanini Yesu hakutamka popote kwamba yeye ni Mungu.
 
𝐒𝐢𝐨 𝐥𝐨𝐠𝐢𝐜 𝐭𝐮 𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐮𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐰𝐞

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeambatanisha video ikimnukuu Alhaj Dr Sulle akikiri kuwa Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo ndiye Mwanamke Bora kuliko wanawake wote Duniani

Nimeweka pia na Nukuu ya Kitabu cha Luka

41 - 42 ::Ikawa Elisabeti aliposikia kule kuamkia kwake Mariamu, kitoto kichanga kikaruka ndani ya tumbo lake; Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu; akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa::

Karibuni tujadili kwa heshima kubwa bila lugha zisizo na staha

Tembelea You tube Ili kusikiliza muhadhara wote uliotolewa na Alhaj Dr Sulle

View attachment 2543102
View attachment 2543103
Mbona Dr.Sulle amekiri mengi sana kuhusu yesu
1.Yesu (yeye) sio mungu
2.Hakusulubiwa msalabani Wala koridoni
3.Hajafa na Wala hakufufuka
4.
Ingekuwa vizuri tuende sambamba na Dr.sulle ktk Yale aliyoyakiri kuhusu Yesuu
 
Sio haku elewa quran haina mpango na bible inayo jikanyaga.

Labda nikuulize Yesu alisulubiwa saa ngapi na alikua amevaa vazi la rangi gani?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Quran haina mpango na bible una akili timamu wewe.

Sijui rangi ya nguo alizovaa,kuhusu muda nao bado ni changamoto maana hakukuwa na saa kipindi hicho.

Kwani Quran inasema aliyefanywa kuwa issa alisulubiwa saa ngapi na alivaa nguo za rangi gan???
 
Quran imekopi kutoka kwenye biblia. Kwa wakristo bikira maria/mariamu ndiye mwanamke mmbarikiwa kuliko wanawake wote. Hayo ya quran wakahubiriwe wageni wa dini na imani
 
Ukweli sahihi wa Yesu hauwezi kupatikana ktk quran.

Yaani afadhali mwandishi angesema hakuwa Mungu,lakini ikaandika pia hakufa wala kuteswa,huu ni utapeli.
Mume mungu wako aliteswa na viumbe wake
 
Back
Top Bottom