Mbon unanisema!! Mi father house now
Na kweliAfadhali vifanye hivyo kuliko kukonkiwa wallah
Mabinti wengi kipindi haswaa cha kula bata ni pale wanapoanza maisha ya chuo
Hua nahisi wanatamani elimu ya chuo ingeongezewa muda yaani kwa uchache ingekuwa hata miaka 10.
Maendeleo hayana chama
Ni hatari mno mkuu! Wew pokea kodi yako wenyew watajua watapoishiaUkweli mtupu ! nimepangisha nyumba yangu wanachuo hayo yote unayoyasema nimejionea kwa macho yangu mwenyewe .
Dohh hapo ni unyumba dailyNipo chuo mwaka wa tatu, nyumba ninayokaa tupo wanachuo watupu kuna jamaa mmoja anaishi na mwanachuo mwenzake kinyumba tangu tupo first year
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wako akifika university unamuita mkubwa mwenzio?University bado unamuita mtoto?
Huwezi kuwa upo serious mkuu
Ha yo ni machache kuna mengi Maovu yanayofanyika Huko wazazi inabidi wawe makini. kuna dogo tunataka tumuweke kikao maana nahisi yule alikuwa anakaa dangulo, kamaliza chuo hataki kurudi nyumbani anasema anayamudu maisha Hana kazi,wala biashara na vyuma vilivyo kaza hivi Kila mtu hoii
team fisi sioTatizo sio wao mabinti peke yao, hata sisi boys huwa tunachangia sana kuwaharibu. Unakuta binti ndio karipoti first year hana hata siku 3 basi team mafisi ni mwendo wa kuwahi makoloni mapema.
Pia ile kutafuta mtu hata wa kuwa anakufulia huwezi kumpata bila kumtongoza.
Maisha ya chuo ni kuyaacha kama yalivyo tu maana ingekuwa kuna kamera inarekodi matukio kuna wazazi wangekana watoto wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeMkuu achana naye huyo.Binafsi nilipokua mwaka wa 2 nilimfanyia mpango mdogo wangu wa kike asome certificate hapo hapo naposoma nilikua nammegea boom Kama ada yake na alikua hostel Mimi gheto.
Familia ilituambia dada mtu awe anakuja gheto anapika kwangu anakula na kusepa hostel.kuna siku zikawa zinapita simuoni kwangu na chuoni haonekani ,wenzie napishana nao yeye sipishani naye .nilimfatilia usiku hostel kwake nikaambiwa halali hostel.Aisee nilipata shida Sana nilifikiria hatima yake ya kielimu mbeleni na hata maisha yake yatakuaje ?Niliamua kumsaka hadi nilipompata baada ya siku 3 huku nilishatoa taarifa nyumbani,nilimkanya Sana na kumtishia nitampiga na sitomlipia ada but usiku nilianza kupokea vitisho kutoka kwa mwanaume nilipambana naye bado kidogo tulitaka kuzichapa kwa kua nilikua na hasira Sana alikimbia.baadae familia iliamua kumrudisha nyumbani.
Leo miaka 2 wale niliokua nasoma nao Jobless hata Yule mwanaume hana kazi..Sasa Kama mdogo wangu angepata mimba sijui angelea vipi na maisha haya magumu ?
Maisha ya chuo kwa watoto wa kike hatari Sana na Mara nyingi ndoa zao hazidumu baada ya kumaliza chuo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee "Hao mabinti wanakwenda nje ya nchi kusoma ndo balaa, wikend inaanza Jumatano kila usiku ni party tu huko Balcon...wanachapika vibaya sana!!
He hee heeTatizo sio wao mabinti peke yao, hata sisi boys huwa tunachangia sana kuwaharibu. Unakuta binti ndio karipoti first year hana hata siku 3 basi team mafisi ni mwendo wa kuwahi makoloni mapema.
Pia ile kutafuta mtu hata wa kuwa anakufulia huwezi kumpata bila kumtongoza.
Maisha ya chuo ni kuyaacha kama yalivyo tu maana ingekuwa kuna kamera inarekodi matukio kuna wazazi wangekana watoto wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata akifia kwa mumewe akiwa na watoto utamuita mwanao.
Utashangaa unaoa mtoto katokea chuo,kama kafanya kitu kibaya ukamuwashia mziki utasikia,mbona wanaume wenzako hawako/hawafanyi hivyo?unabaki kujiuliza huyu kajuaje haya mambo...!
Sent using Jamii Forums mobile app