Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.
Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.
Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏
Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.
Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini👏
Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika😊
Ulitaka kusemaje kwani kama mmeachama kwa AMANI ni rahisi lkn kama ukipigwa tukio ni vigumu kukutana
. Nataka kusema wake za watu wanaliwa sana na ma x.Ulitaka kusemaje kwan
Kupigana matukio makali ni wachache sana, na baadhi yao hukaa mda furani then wanaendelea Kunyanduana.kama mmeachama kwa AMANI ni rahisi lkn kama ukipigwa tukio ni vigumu kukutana
Ni chai mkuu ila haina sukari na kitafunwa.waweza nunua chapati tukanywa wote hii chai.unaonaje"kimasihara inawezekana, lazima na yeye awe na mtazamo huu, kama hana, chai hii"
Hiii kumbe kwer. Nataka kusema wake za watu wanaliwa sana na ma x.
. Nataka kusema waume za watu wanaonjeshwa sana na ma ex.
Kupigana matukio makali ni wachache sana, na baadhi yao hukaa mda furani then wanaendelea Kunyanduana.
Tutapumzika tutapokua tumekimbizwa duniani nchi huru Ina mmbo ya kiwaki mdogo angu🤣Ni chai mkuu ila haina sukari na kitafunwa.waweza nunua chapati tukanywa wote hii chai.unaonaje
Mwenyew mbn nilishindwa nakuachia ngazi 🤣🤣😬😬, unavyo oa, hakikisha una kifua mkuu... Ndoa nyingi tren linaishia njiani.
Aaaaaah usimbe unaelekea kunishinda apa nawaza nipate kitunguu maji tena chief 😂😬😬, balaa sana hilo, ukifikisha miaka 70+, oa tena 😃
🙄🙄🙄🙄Ww muuaji kwekwer vijijini nako wako live siku izi sio maboya😂Zama vijijini ndani ndani huko, mpaka aje azoee jiji, unakuwa umesha mtafuna vya kutosha na watoto anao witiri 😁😁
Siyo kweli mkuu, nitolee mfano mdogo tu, mimi nafanya kazi katika maeneo ambayo nakutana na watu wengi sana( jamii utambuzi) , haya mambo yanatokea na kwa Kiwango kikubwa,Yeeeh jamn ex ni Ex tuu. Hakuna sababu yakupasha makabichii .
People change,grow, n move On. Hao Ex zako Kuna mahali wamekwama kifikira, kihisia na kimtazamo pia.
Mm baba watoto wako,nakiri ulikuwa mtamu sana,Sema ulikuwa na kiburiSitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.
Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.
Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏
Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.
Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini👏
Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika😊
Mzee unaogopesha,ila ndoa ni jambo jemaKATAA NDOA!
NDOA NI UONGO
NDOA NI UJAMBAZI
NDOA NI UHARAMIA
NDOA NI RUSHWA
NDOA NI UBEPARI
NDOA NI UKABAILA
NDOA NI UCHAWI
NDOA NI NGUVU ZA GIZA
NDOA NI USHIRIKINA
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kweli kweli dah, asieee pia asije kuwa kaleft groupAu atakuwa alipigwa na kitu kizito 🤔🤔