Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.

Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.

Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏

Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.

Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini👏

Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika😊

"kimasihara inawezekana, lazima na yeye awe na mtazamo huu, kama hana, chai hii"
 
Ulitaka kusemaje kwani kama mmeachama kwa AMANI ni rahisi lkn kama ukipigwa tukio ni vigumu kukutana

Ulitaka kusemaje kwan
. Nataka kusema wake za watu wanaliwa sana na ma x.
. Nataka kusema waume za watu wanaonjeshwa sana na ma ex.

kama mmeachama kwa AMANI ni rahisi lkn kama ukipigwa tukio ni vigumu kukutana
Kupigana matukio makali ni wachache sana, na baadhi yao hukaa mda furani then wanaendelea Kunyanduana.
 
Yeeeh jamn ex ni Ex tuu. Hakuna sababu yakupasha makabichii .
People change,grow, n move On. Hao Ex zako Kuna mahali wamekwama kifikira, kihisia na kimtazamo pia.
Siyo kweli mkuu, nitolee mfano mdogo tu, mimi nafanya kazi katika maeneo ambayo nakutana na watu wengi sana( jamii utambuzi) , haya mambo yanatokea na kwa Kiwango kikubwa,
 
Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.

Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.

Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏

Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.

Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini👏

Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika😊
Mm baba watoto wako,nakiri ulikuwa mtamu sana,Sema ulikuwa na kiburi
 
Back
Top Bottom