Je Wajua Kuna Aina Mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika na Shetani wa Mbinguni ambao ni Pepo na Malaika na Shetani wa Duniani ambao ni Watu?.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,101
Reaction score
128,716
Wanabodi
Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!.

Malaika wa Mbinguni ni wale malaika pepo ambao wanatumwa na Mungu mwenyewe, wanaweza kukutokea katika umbo lolote, hata la njiwa, kipepeo, hata mbu!. Na kuna malaika wa duniani ambao ni watu, ni binadamu.

Wale Malaika wa Mbinguni hukaa mbinguni, peponi ambapo shetani mwanzo alikuwa malaika, akaasi ndio akageuka shetani, akafukuzwa peponi na kutupwa motoni!.

Kazi ya malaika ni kutenda mema, na kazi ya shetani ni kutenda maovu.

Malaika akiasi, hugeuka shetani, anafukuzwa kule mbinguni peponi na kutupwa ushetanini ambako ni hapa duniani kuja kuvuna mavuno ya kwenda nayo motoni!.

Malaika wa dunia ni hawa binadamu wa kawaida kabisa wenye roho wa Mungu ndani yao, hivyo wanaotenda matendo mema ya kumpendeza Mungu.

Mashetani wa duniani nao ni hawa binadamu wa kawaida kabisa wenye roho ya shetani ambao ni watenda maovu.

Mtu mwema wa Mungu anaweza kupotea na kuanguka dhambini, akatenda maovu. Kipindi hicho mtu mwema anapoanguka dhambini, anakuwa ni amegeuka shetani na ameingia ushetani kwa kujiunga na shetani na anakuwa anaishi ushetanini kama mtumishi wa shetani na akifanya kazi ya shetani!.

Mtu huyu mwenye roho ya shetani, anakuwa na two options, ama aongoke mwenyewe, atubu madhambi yake, kwa kumkataa shetani na mambo yake yote kuyakataa, anakuwa ameongoka, ameokoka na roho wa Mungu anarejea ndani yake anakuwa ni mtu mwema, anarejea kuwa binadamu malaika mwema.

Asipo ongoka mwenyewe, anaweza kuongolewa kama ilivyo tokea kwa Sauli na kugeuka Paulo, huyu akiongolewa, anakuwa ameongoka unakuwa umeongolewa kutoka ushetanini, then inambidi kubadilika kwa kumkataa shetani na mambo yake yote kuyakataa.

Kufuatia kilicho mtokea Humphrey Polepole, naomba mtanisamehe bandiko hili nalikatia hapa, halitaendelea, limekuwa overtaken by events!.
Samahani sana.

Paskali
 
Wanabodi
Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!.

Malaika wa Mbinguni ni wale malaika pepo ambao wanatumwa na Mungu mwenyewe, wanaweza kukutokea katika umbo lolote, hata la njiwa, kipepeo, hata mbu!. Na kuna malaika wa duniani ambao ni watu, ni binadamu.

Wale Malaika wa Mbinguni hukaa mbinguni, peponi ambapo shetani mwanzo alikuwa malaika, akaasi ndio akageuka shetani, akafukuzwa peponi na kutupwa motoni!.

Kazi ya malaika ni kutenda mema, na kazi ya shetani ni kutenda maovu.

Malaika akiasi, hugeuka shetani, anafukuzwa peponi na kutupwa motoni au ushetanini.

Malaika wa dunia ni hawa binadamu wanaotenda mema

Inaendelea ...
Sawa na kanuni zao zikoje ili kuwatofautisha?Na je sisi kama Binadamu ni kanuni Gani itufaayo kuifuata?!
 
Wanabodi
Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!.

Malaika wa Mbinguni ni wale malaika pepo ambao wanatumwa na Mungu mwenyewe, wanaweza kukutokea katika umbo lolote, hata la njiwa, kipepeo, hata mbu!. Na kuna malaika wa duniani ambao ni watu, ni binadamu.

Wale Malaika wa Mbinguni hukaa mbinguni, peponi ambapo shetani mwanzo alikuwa malaika, akaasi ndio akageuka shetani, akafukuzwa peponi na kutupwa motoni!.

Kazi ya malaika ni kutenda mema, na kazi ya shetani ni kutenda maovu.

Malaika akiasi, hugeuka shetani, anafukuzwa peponi na kutupwa motoni au ushetanini.

Malaika wa dunia ni hawa binadamu wanaotenda mema

Inaendelea ...
Mkuu, naona material ya Seminary umeishayapoteza. Hakuna shetani wa mbinguni. Shetani yuko hapahapa duniani, anawatesa watu, anawadanganya watu... akisubiri kuchomwa motoni pamoja na wote wasiomwamini Yesu.
 
Mungu ni mmoja yupo mahali pote mbinguni na duniani

Mungu aliishi na swahiba wake aitwae malaika mkuu baadae wakapishana mtazamo akamfukuza kazi na kumtupa mahamishoni ambapo ni duniani

Malaika mkuu akapewa jina la SHETANI, ni makazi yake ni duniani,
Kumbuka mungu yupo mahali pote, hivyo basi nibsawa kusema alipo mungu yupo shetani.

Bado wapo pamoja ila wanamtazamo tofauti

Watoto wa mungu ni malaika
Watoto wa shetani ni majini au mapepo

Hawa wote nyumba yao ni binadamu, kila mtu anamtaka binadamu, kila mtu ni mbinafsi

Hii hali inamfanya binadamu awe na akili mbili, ya mungu na ya shetani

Hayo unayoyaona ni akili ya mungu inaanza kumzidi shetani

Je atabaki na mungu au shetani atarudi ndani yake?
 
Wanabodi
Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo na kuna mashetani wa duniani ambao ni watu ni binadamu kabisa lakini ni ma shetani!.

Malaika wa Mbinguni ni wale malaika pepo ambao wanatumwa na Mungu mwenyewe, wanaweza kukutokea katika umbo lolote, hata la njiwa, kipepeo, hata mbu!. Na kuna malaika wa duniani ambao ni watu, ni binadamu.

Wale Malaika wa Mbinguni hukaa mbinguni, peponi ambapo shetani mwanzo alikuwa malaika, akaasi ndio akageuka shetani, akafukuzwa peponi na kutupwa motoni!.

Kazi ya malaika ni kutenda mema, na kazi ya shetani ni kutenda maovu.

Malaika akiasi, hugeuka shetani, anafukuzwa peponi na kutupwa motoni au ushetanini.

Malaika wa dunia ni hawa binadamu wanaotenda mema

Inaendelea ...
Unasemaje kuhusu mifumo ya Plepole? CCM-NIDA-INEC trio
 
FB_IMG_17549732604555681.jpg
 
yaa alitupwa Dunian lakin kafungwa minyororo hayuko huru kazi zinafanywa na wasaidizi wake.
Biblia yako haina andiko hili?
1 Pet 5:8
Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.

Aliyekuambia shetani amefungwa minyororo ni nani?
 
Mashetani wa duniani nao ni hawa binadamu wa kawaida kabisa wenye roho ya shetani ambao ni watenda maovu.

Mtu mwema wa Mungu anaweza kupotea na kuanguka dhambini, akatenda maovu. Kipindi hicho mtu mwema anapoanguka dhambini, anakuwa ni amekengeukageuka, anageuka shetani na ameingia ushetani kwa kujiunga na shetani na anakuwa anaishi ushetanini kama mtumishi wa shetani na akifanya kazi ya shetani!.

Mtu huyu mwenye roho ya shetani, anakuwa na two options, ama aongoke mwenyewe, atubu madhambi yake, kwa kumkataa shetani na mambo yake yote kuyakataa, anakuwa ameongoka, ameokoka na roho wa Mungu anarejea ndani yake anakuwa ni mtu mwema, anarejea kuwa binadamu malaika mwema.

Asipo ongoka mwenyewe, anaweza kuongolewa kama ilivyo tokea kwa Sauli na kugeuka Paulo, huyu akiongolewa, anakuwa ameongoka unakuwa umeongolewa kutoka ushetanini, then inambidi kubadilika kwa kumkataa shetani na mambo yake yote kuyakataa.

Kufuatia kilicho Humphrey Polepole, naomba mtanisamehe bandiko hili halitaendelea, limekuwa overtaken by events!.
Samahani sana.

Paskali
Mashetani wa duniani wako kazini wakiendeleza ushetani wao!.
P
 
Back
Top Bottom