Je Vijana wa CCM wamejifunza jambo au bado wameziba masikio??

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,501
86,044
Hatimae kijana Jasiri, imara kweli kweli amehukumiwa 30yrs nyuma ya nondo, huu ni mzunguko wa kwanza, bado kuna mizunguko miwili nasikia....

Tumekua tukiwasihi hata kwa machozi, vijana wasidanganywe na kutumiwa kuficha maovu au hata kuyatenda! Sasa baada ya songombingo hii ya "From Hero to Zero" napenda kuuliza swali hili, Je UVCCM wamejifunza kutokutumika vibaya au bado wameweka pamba masikioni?

Niwakumbushe tu, Hao Polisi mnaojificha kwao ndio hao hao watakuja kukutia pingu kama vile hawakujui.

Kijana kataa kutumika, nchi ni yetu sote

IMG-20211015-WA0164.jpg


IMG-20211016-WA0000.jpg
 
Sio rahisi kujifunza katika jambo ambalo ni kama tone katika bahari. Wengi waliotumika kwa uovu na ukatili wapo mitaani wanadunda.
 
Back
Top Bottom