Je Unawajua MAHIJRA wa India?!

Je Unawajua MAHIJRA wa India?!

Hawa jamaa ni Mwisho wanaishi katika maisha ambayo inasemekana ni ya Kidini Kihindu.

Huamua kukata sehemu zao za siri na kuishi kama Wanawake,pia huvaa Nguo za Kike yaani Sari.

Jambo la kushangaza hakuna hata NGO moja inayosema kuwa huo ni Ukeketaji na Unyanyasaji wa Kijinsia HIJRA kama wanavyoitwa huko India pia huitwa kwenye Sherehe mbalimbali za Kijamii kama harusi nk.

Mahijra pia hujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Nilishakutana nao kwenye train mara kibao! Huwa wanalazimisha kuwapa pesa (sadaka) nikawagomea. Waliwaka kinoma...

Yaani mtu kavaa saree halafu sauti inayotoka ni ya dume!! Siku ya kwanza kukutana nao hata sikujua ni akina nani, baadae ndo nikafuatilia kujua.

Na wengi wakawa wanasema ni transgender... Hili la kukatwa nyeti mpaka natoka huko India sikuwahi kulijua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi khan ni Indian ? Hivi huyu ndo jamaa anajiiita kaka jambazi au?
Halafu humu kanywea sana baada ya kuonekana kumbe ni low Indian caste na hasa akihusishwa uhindi wake, ubaguzi wake, na mambo ya kichama ingawa hasa si mahali pake.

Kitu nilichoona hao mapunga wengi ni ile low caste. Pia hata wale ma Dalit( Malaya kwa kisingizio cha dini) ni low caste. Inaonekana wale high caste walitengeneza mfumo wa dini usiowaathiri jamii yao moja kwa moja

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Transformation Ritual inaitwa "KHAAS LIBHAAS"..yaani kutoka kwenye uanaume kwenda kwenye Ujikedume ni Sherehe yenye kusisimua.
Sir Khan vipi mbona Kimya sana.
 
IMG_3862-min-320x320.jpg

Baada ya "Khaas libaas"..Hijra anakuwa tayari kwa ajili ya kuolewa na kuanza maisha ya ndoa.
downloadfile-17.jpg

Mwali akitolewa ndani baada ya Khaas Libass
hijras-north-india.jpg

Hapa Vitu vikiwa Uraiani Vinapatikana kwa Rupee kidogo tu unaenda kupumzika navyo.
 
Lakini hivi umeshawahi kugegeda ngozi nyeusi au bado nakushauri jaribu kugegeda uonea jinsi utakavoukana msimamo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Utotoni nimewahi kufanya lakini tangu nipate akili sijawahi na sitaki kuwaonja.
Am a man so kuna muda nakuwa tempted lakini namshukuru Mungu nayashinda majaribu na lazima mpango wangu utimie.
 
Mimi nimeshawahi Kutembea na Wanawake wa Race mbalimbali ila ukiwasha taa ndio unaona tifauti ila ukizima taa nyapu ni ile ile tofauti ni kama Mwanamke anakula pilipili sana au ana ujauzito ndio joto lake huongezeka.
Ila asikudanganye mtu.
 
Mimi kwa watoto kama hawa hata uniletee Hema malin au Rekha enzi zao Bure siwataki.
 
Back
Top Bottom