Nitakukumbuka mzee kigogo.Na mm usinisahau mkuu
That isView attachment 991845
Sir Khan Ina maana huyu Mhindu mwenzako ndio anakuvutia kuliko wanawake wa Kiafrika?!
Mkuu nimeamua kuishia hapa ili nisiwakwaze zaidi watu wa madhehebu ya kihindu.Mzee ulitakiwa uweke maelezo ya kutosha juu ya hawa watu kama vile; kwa nn wanafanya hivyo,lengo lao lipo katika mkutadha wa kiimani,kimila au in mtindo tu wa maisha yao.
Sawa kiongozi wangu! Ila nilitamani sana kujifunza juu ya hawa watu.Mkuu nimeamua kuishia hapa ili nisiwakwaze zaidi watu wa madhehebu ya kihindu.
Ila pasi zao sio za kitotoo!!, Wahindi sura tu, huko kwingine maelewano, utajazia jazia mwenyewe...Kwa hiyo mtu ambaye hapendi wanawake wa kibongo(romantically) ni mbaguzi?
Mimi siwezi kuwabagua watanzania maana wao ndio wamenilea na kunipa elimu naanzaje kuwabagua?
Msimamo wangu ni ule ule siwezi kuoa mwanamke wa kiafrika au mzungu,Never!
Nitaoa Mhindi maana hao tu ndo wananivutia sana.
Warembo wa kihindi wanavutia kuanzia nywele mpaka unyayo,kama wewe ni mpenda makalio makubwa lazima utawakimbia.Ila pasi zao sio za kitotoo!!, Wahindi sura tu, huko kwingine maelewano, utajazia jazia mwenyewe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakukumbuka mkuu.
Hawa nimewaona sana India. Wanaomba omba barabarani.Khusra au jankha ni kwa kipunjab.
Hijra ni kwa kiindustani
Maada ni kwa kiodia.
Aravani ni kwa telugu
Wamekuwapo tangu zama za kale.
Wanapatikana Bharat,Bangladesh,Pakistani na Nepal.
Na huko Bharat wanatambulika kama 'third sex' na passport zao ziko hivyo.
Neno hijra,aravani,maada au khusra linamaanisha 'mister woman'
Wanastahili kuheshimiwa kama unavyowaheshimu watu wa dini au tamaduni tofauti.
Nikipata muda nitaleta uzi kuhusu wale the UNTOUCHABLE.