Je Unawajua MAHIJRA wa India?!

Je Unawajua MAHIJRA wa India?!

Huyu wa nne mbona kitu mbona fresh tu kinalikaaa bwaana

1547126392287.png
 
Katika familia hii jamii huwa wanawachagua vijana wadogo sana,kisha hufanya sherehe kubwa sana ikiambatana kuwakata uume wao.

Baada ya hapo huwachomekea mpingo uliochongwa Vizuri katika njia ya haja kubwa hadi Damu inapowatoka...ndipo Vigelegele hupigwa na inasemekana damu ikitoka kijana anavunjika na kuwa mwanamke.
Dah duniani kuna mambo ya ajabu sana!!
 
Kuna baadhi ya Picha za HIJRA wakati wanakatwa Uume kwakweli huwezi kuziweka hapa...anyway lakini wao wanasema wanamuenzi moja ya miungu wa Kihindu.
Weka tuu mkuu,watoto wengi wapo bording skuli mkuu
 
Weka tuu mkuu,watoto wengi wapo bording skuli mkuu
Mkuu ingia kwenye Hijra rituals Shocking Asia.
Kinachotia uchungu wale vijana wadogo wanaochaguliwa kukatwa uume na kufanywa Makhusra wengine wanalazimishwa.
 
Kwa hiyo mtu ambaye hapendi wanawake wa kibongo(romantically) ni mbaguzi?
Mimi siwezi kuwabagua watanzania maana wao ndio wamenilea na kunipa elimu naanzaje kuwabagua?
Msimamo wangu ni ule ule siwezi kuoa mwanamke wa kiafrika au mzungu,Never!
Nitaoa Mhindi maana hao tu ndo wananivutia sana.
Lakini hivi umeshawahi kugegeda ngozi nyeusi au bado nakushauri jaribu kugegeda uonea jinsi utakavoukana msimamo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahindu huku kwetu ndio tuawaita Banianii wanaubaguzi sana.Bora Wabengali na Watamil na Dravidians wengine.
 
Mbona mnaelezea tuuuuu bila kutupatia majibu sahihi, hawa watu wanazaliana vipi Kama hukata mazalishia?
Hijra ni neno la kihindu likimaanisha moja ya jamii yao ambapo kwa asili wanahasi wavulana tangu wakiwa wadogo hasa kulinda sauti zao. Kuna wengine wanang'oa hata mzigo mzima. Wenyewe wanapenda kuitwa 'Kinnar wakiashiria viumbe vilivyo kuwa hodari kwa kuimba na kucheza ngoma zao za asili ambazo huchewa kwa grace and agility ya hali ya juu ambapo mwanamume wa kawaida hawezi kunyumbuika vizuri kufuatia mrindimo wa nyimbo zao.[kama uliwahi kusoma kitabu cha Kama Sutra utaelewa]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom