hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,365
- 80,266
Huyu nae ni mwanaume?View attachment 989961
Kuna wengine unaweza kuingia Kingi.
Duhh!!!Katika familia hii jamii huwa wanawachagua vijana wadogo sana,kisha hufanya sherehe kubwa sana ikiambatana kuwakata uume wao.
Baada ya hapo huwachomekea mpingo uliochongwa Vizuri katika njia ya haja kubwa hadi Damu inapowatoka...ndipo Vigelegele hupigwa na inasemekana damu ikitoka kijana anavunjika na kuwa mwanamke.
Nasikia Dreamliner itaanza safari za Mumbai hivi karibuni...hahahahaa!!!...patamu hapo.Huyu nae ni mwanaume?
Aisee demu wangu kazidiwa urembo na mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa haaaKuna mmoja hapo anafanana na jamaa mmoja wa humu JF alikua anaitwa MUNAWAR
Waweza kukuta mzee alikuwa ana watafunaView attachment 990151
Marehemu Mahatma Ghandi hakuwa na Noma na kwa Makhusra.
HahaaHuyu nae ni mwanaume?
Aisee demu wangu kazidiwa urembo na mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu atakuwa bei ghali!View attachment 989960
Hijra wa Kolkata INDIA.
Dah!!!Daah hii hatari
Mzigua90
Miss Natafuta
FaizaFoxy
Mshana Jr
Madame B
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakatwa bila ganzi kama wamasai au inakuaje?Kuna baadhi ya Picha za HIJRA wakati wanakatwa Uume kwakweli huwezi kuziweka hapa...anyway lakini wao wanasema wanamuenzi moja ya miungu wa Kihindu.
Naunga mkono hoja mkuu.Mzee ulitakiwa uweke maelezo ya kutosha juu ya hawa watu kama vile; kwa nn wanafanya hivyo,lengo lao lipo katika mkutadha wa kiimani,kimila au in mtindo tu wa maisha yao.
Alikua anauza magari humu jf.
Khusra au jankha ni kwa kipunjab.
Hijra ni kwa kiindustani
Maada ni kwa kiodia.
Aravani ni kwa telugu
Wamekuwapo tangu zama za kale.
Wanapatikana Bharat,Bangladesh,Pakistani na Nepal.
Na huko Bharat wanatambulika kama 'third sex' na passport zao ziko hivyo.
Neno hijra,aravani,maada au khusra linamaanisha 'mister woman'
Wanastahili kuheshimiwa kama unavyowaheshimu watu wa dini au tamaduni tofauti.
Nikipata muda nitaleta uzi kuhusu wale the UNTOUCHABLE.
Jina lako nimeliandika pembeni nisije nikasahau
Kijana shika adabu yako, watoto wakali wamejaa Bharat halafu nitafute khusra wa nini aisee?Sir Khan Huwa anafaidi kimya kimya kila wiki anajifungia na Khusra mmoja au wawili halafu anapumzika nao.