Je Unawajua MAHIJRA wa India?!

Je Unawajua MAHIJRA wa India?!

Kwa hyo huo ni utamaduni nzuri mkuu?

Tamaduni za kishoga kabisa hizi,hii imezidi mkuu.

Ila ningekuwa nipo nao nawaelimisha basi nisingesema hivi,ningeongea nao kistaarabu.

Ila kama hapa bhana huuo ni ukhanithi hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka sisi dini zetu zinalipinga hili jambo lakini wao dini yao inaruhusu kwa hiyo unashangazwa na nini?!
 
Sir Khan nasikia huko kwenu wanaitwa "Khusra"hivi ni kweli?!
Khusra au jankha ni kwa kipunjab.
Hijra ni kwa kiindustani
Maada ni kwa kiodia.
Aravani ni kwa telugu
Wamekuwapo tangu zama za kale.
Wanapatikana Bharat,Bangladesh,Pakistani na Nepal.
Na huko Bharat wanatambulika kama 'third sex' na passport zao ziko hivyo.
Neno hijra,aravani,maada au khusra linamaanisha 'mister woman'
Wanastahili kuheshimiwa kama unavyowaheshimu watu wa dini au tamaduni tofauti.
Nikipata muda nitaleta uzi kuhusu wale the UNTOUCHABLE.
 
Hawa jamaa ni Mwisho wanaishi katika maisha ambayo inasemekana ni ya Kidini Kihindu.

Huamua kukata sehemu zao za siri na kuishi kama Wanawake,pia huvaa Nguo za Kike yaani Sari.

Jambo la kushangaza hakuna hata NGO moja inayosema kuwa huo ni Ukeketaji na Unyanyasaji wa Kijinsia HIJRA kama wanavyoitwa huko India pia huitwa kwenye Sherehe mbalimbali za Kijamii kama harusi nk.

Mahijra pia hujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Hijra ni neno la kihindu likimaanisha moja ya jamii yao ambapo kwa asili wanahasi wavulana tangu wakiwa wadogo hasa kulinda sauti zao. Kuna wengine wanang'oa hata mzigo mzima. Wenyewe wanapenda kuitwa 'Kinnar wakiashiria viumbe vilivyo kuwa hodari kwa kuimba na kucheza ngoma zao za asili ambazo huchewa kwa grace and agility ya hali ya juu ambapo mwanamume wa kawaida hawezi kunyumbuika vizuri kufuatia mrindimo wa nyimbo zao.[kama uliwahi kusoma kitabu cha Kama Sutra utaelewa]
 
Khusra au jankha ni kwa kipunjab.
Hijra ni kwa kiindustani
Maada ni kwa kiodia.
Aravani ni kwa telugu
Wamekuwapo tangu zama za kale.
Wanapatikana Bharat,Bangladesh,Pakistani na Nepal.
Na huko Bharat wanatambulika kama 'third sex' na passport zao ziko hivyo.
Neno hijra,aravani,maada au khusra linamaanisha 'mister woman'
Wanastahili kuheshimiwa kama unavyowaheshimu watu wa dini au tamaduni tofauti.
Nikipata muda nitaleta uzi kuhusu wale the UNTOUCHABLE.
Kwa hiyo UHINDU unaruhusu Mapenzi ya Jinsia Moja?!
 
Kwa hiyo kuna tofauti gani kati yao na ThaiLadyboys.
 
Sasa hivi ndio naanza kuelewa kwanini Atal Behari Vajpayii alikuwa hana mke wala mtoto.
 
Hijra_Kolkata_2013.jpg

hqdefault.jpg

Mzee wa KOTEKA anapokutana na HIJRA wa KOLKATA.
 
Katika familia hii jamii huwa wanawachagua vijana wadogo sana,kisha hufanya sherehe kubwa sana ikiambatana kuwakata uume wao.

Baada ya hapo huwachomekea mpingo uliochongwa Vizuri katika njia ya haja kubwa hadi Damu inapowatoka...ndipo Vigelegele hupigwa na inasemekana damu ikitoka kijana anavunjika na kuwa mwanamke.
Baada ya hapo maisha yao yanakuwaje?
 
Mzee ulitakiwa uweke maelezo ya kutosha juu ya hawa watu kama vile; kwa nn wanafanya hivyo,lengo lao lipo katika mkutadha wa kiimani,kimila au in mtindo tu wa maisha yao.
 
Sasa wanazaliana naje au viongozi ndo wanakata mashine kwa sawa na kanisa la katoliki au wao wanakatwa hadi waumini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nadhani kama ya kitawa lakini sijui pale wanapotoa huduma kwa wateja inakuwa sadaka kwa sababu ni bei ya chini sana.
Nimecheki video zao YouTube ajabu kinoma! Wanaolewa kabisa na ndoa inafanyika kitaratibu zote za kidini.

Hii noma aisee!
 
Back
Top Bottom