Kakuambia nani? Matatizo yapo katika kila hatua " Kila masika na Mmbu wake"Watoto wa Bakhresa, Mengi au Mo dewje ktk maisha yao yote kuanzia wakiwa tumboni mwa mama yao hawatokaa wajue maisha magumu ni kitu gani au waje wapitie maisha magumu! Na sis tutafute hela kwa bidii watoto wetu wasije kupitia njia tulizo pitia tujitume tuachane na siasa
Rafiki atakusaidia nini? Tafuta business partner tu.Dunia ya leo.,kumpata rafiki ni shidaa
Kwa wanaoijua Morogoro nilikuwa nachapa miguu Nunge hadi Chamwino kila siku kwa muda wa miaka miwilijamani jamani jamani,, hapo mabibo to UD ni mbali kweli kiasi unasema ulipitia wakati mgumu??
anyway inategemea ulikulia malezi gani, inawezekana ulianzia familia ya mboga saba
Pole sana Muombe Mungu sana lakini katika maombi hayo usisahau kumuomba Maarifa yaongozane na Ubunifu, Afya na Busara.Maisha bana yakikugeuka unaweza kuokota makopo.me toka january mwaka huu niliachishwa kazi dahhh we acha tu nilikuwa kibonge cha mtu sshv nimebaki skeleton
Niliondoka nyumbani nikiwa na Miaka 14. Basi tu ID hizi zinatuficha [emoji23][emoji23] nilipofikisha 16 nilitingisha sana nchi hii kwa vitu vyangu.Hongerah sana mimi mmojawapo ntahitaji hicho kitabu. Kitu nilichojifunza watoto hawa wa mitaani wengi wao ni intelligent! Kwani najaribu kuwaza utaondokaje nyumbani na kwenda kuishi mitaani ukiwa mtoto mdogo bila akili ya ziada ya kuweza kuishi? Basi niishie hapo kwani mengine nitayapata kwenye kitabu! Historia kama hizi zitapunguza hata unyanyapaa kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu. Ni jukumu la serkali na jamii kusaidia ili kusiwe na vulnerable kids, elimu bure ni njia mojawapo.
Ushauri kwa mara nyingine kwa Mheshimiwa Rais vunja wizara ya Afya na hii ya ustawi wa jamii ( hii ishughulikie masuaaya jinsia, wanawake na vijana ( kuwaanzishia ujasiriamali), wazee na walemavu iwe na wizara yake inayojitegemea as Wizara ya Afya kwa changamoto zake pia ibaki ikijitegemea. Ukitaka watendaji wa hii wizara inayohusu Ustawi wa jamii wakereketwa tupo.
Uuuh I'm touched, Mungu aendelee kuwatunza. Hapo kwenye kusamehe, hongera sana maana wanaume wengi na kusamehe kuchepuka mmhmi wakati nimemaliza chuo,ilikuwa ni balaa,nilikuwa na mpenz wng wakati mi niko home ye alikuwa bado yuko chuo,sina hata mia sku moja akaja geto jioni mda wa kulala nikashangaa analia tu wakati wa tendo tena anatoa ushirikiano balaa bt coz mi namjua ikabidi nistishe kwanza nikamuulza vp kwani,c akafunguka kwamba kafulia na jana yake kuna mtu alikuwa anapenda kumsalimia sn pale chuon sasa alimwalika menu nje ya chuo nyt coz alikuwa hana ktu ikabd aende jamaa likamnunulia menu,likampa na elf 10,ksha likampeleka lodge klchoendelea,...daah kweli mi nlimuonea tu huruma na nlmsamehe bt alilia usku kucha mi nkawa mmbembelezaji tena,after wote kumalza chuo naye akaja geto she was like me very much lyf lilikuwa tyt balaa ikfka mda wa kulala mnalala mmemalza kila ktu mpaka maji ya kunywa na hamjui tmr itakuaje bt ashukuriwe MUNGU hatukuwahi kulala na njaa,leo ndo mke wangu na tuna watoto 2.
Duh.. Pole sana Mkuu ila kwanini huo mda uliotumia kwenda huko Nigeria na gharama zake usingeanzisha kitu na kumuomba Mungu akusimamie katika hilo...Hayo yote uliyoyaandika , ndio nayapitia sasa. Tena yamekuwa kwa muda mrefu sana.
Ilifika mahala nikaenda SCOAN Nigeria kwa PTB Joshua kwa njia ya bara bara ( nilitumia siku 76 kufika)
Nimekuwa kiroho sana. But matatizo yapo pale pale. Na yanazidi kuongezeka mpaka kukimbiwa na watu wa karibu kabisa, uliowasomesha na kuwainua juu.
Wakwe kukuona kama mwehu, mke kukuona hufai , na kuudharau Wokovu wako.
Mara waseme sitaki Kazi, na kwamba nachagua Kazi. Wakwe wanamsisitiza mke wangu aachane na Mimi kuwa nampotezea muda, sina Kazi.
Nakuwa karibu sana na Mungu kila mara. Na ninafunga na kuomba kila mara.
Hii ni sehemu ambayo naitumia kusali mchana na Usiku..., asubuhi mchana jioni.
Usiku kabla ya saa 6 , Then saa 7-8 , na saa 9-10.
Nimetandaza vyeti vyangu vyote kuanzia chini hadi Postgraduate, na mahitaji ya watu wengine.
Natumia muda kuwaombea maadui
Hakuna jaribu lisilo na mlango wa kutokea.... Litapita na hili mpendwaHmmm, bado napitia kipindi kigumu sana..... Ninalipa deni la millions of money ambalo sikufaidika nalo, kwa lugha nyingine nimetapeliwa. Nimekuwa na sleepless nights. Ninafanya kazi 24hrs lakini ni kama namfanyia mtu......... Hmmm, Mungu yupo, najua yana mwisho. Ingawa mpaka sasa uzito wangu umepungua, hata concentration yangu kazini imepungua, kama ningekuwa nafanya kazi kwa MTU binafsi nafikiri ningekuwa nilisha timuliwa, lakini Mungu yupo, yataisha.
Hebu ninong'oneze ulitingishaje?Niliondoka nyumbani nikiwa na Miaka 14. Basi tu ID hizi zinatuficha [emoji23][emoji23] nilipofikisha 16 nilitingisha sana nchi hii kwa vitu vyangu.
God is on the throne........ Kama aliruhusu mabaya yanipate, basis anauwezo wa kuruhusu na mema yanipate pia. Asante Dada.Hakuna jaribu lisilo na mlango wa kutokea.... Litapita na hili mpendwa
U have touched meJe unafahamu kwanini Yesu aliwaambia wale kina Mama wasimlilie? Kuna siri kubwa sana kwenye machozi.
ipi!!!!?? PM me...i will tell u what i faced, and it's not worthy sharing in publicHufikii shida iliyonikuta!
Mshukuruni mungu kwa kila jambo kwani kila linalotokea kuna makusudi iwe adhabu au njia ya kuvuka ulipo! Tujitambue Na tuwe Na subira kupisha magumu yapite.