BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,238
- 11,907
Hahaha hahaha hahahaNdiye mm huyo huyo niliyekuwa nikipambana na majangili yanayotaka kutupotezea uzuri wa asili nakati Mungu ndiye pekee Fundi hodari wa uumbaji na kamwe huwa hakosei[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haikua rahisi kufanya yote hayo Mara moja kwani sababu kosa ambalo linapelekea mpaka kufanya hayo ni kosa moja ambalo linajirudia.Nitafuata Sheria zako boss, Je ilikuwa rahisi kufanya yote hayo.??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna promo ni ukweli mchungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji870][emoji870][emoji870]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lamsingi katika kuulizwa ila ukiona mwanamke unamuuliza jambo basi ujue umeshuku ujinga.Kama umeulizwa jambo la msingi halafu ukakaa kimya inakuwa dharau hiyo.
Hakuna lamsingi katika kuulizwa ila ukiona mwanamke unamuuliza jambo basi ujue umeshuku ujinga.
Hivyo akikaa kimya kadharau na hata akijibu lisilo la ukweli ( akadanganya)pia nayo ni dharautuu!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahaha
Nimecheka mnooo jamaniii
AmeeennnEee...vunja mbavu zako kwa sana tu Mama maana ni lazima tutambue ukuu wa Mungu ktk uumbaji[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa Mara kwa Mara huwa wanaweka rekodi siku ukimwambia Leo utanitambua basi kumbe yeye idadi ya kupigwa aliokua anaisubiri itimie ilkawa ishatimia ukirudi utakuta watototu yeye kishaondoka kwao.Basi kipigo ni sawa tu kwake maana hakuna namna.
Ni kweli kabsa mkuuHii ni kweli au umeamua kutuchekesha na comedy?
Ni kweli kabisaa!!. Karibu uoneNi kweli kabsa mkuu
am better here
Mimi wangu hajanipiga lakini napenda anipige yan namtafutia visababu lakini anakaa kimya ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unakuta kabinti kanaku pump, nipige kama mwanaume...
Sasa hapo kakizibuliwa kosa ni lako mpigaji?
Aikambe mekuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]Akiku pump mpokonye hiyo pump mkuu
Sasa unakuta kabinti kanaku pump, nipige kama mwanaume...
Sasa hapo kakizibuliwa kosa ni lako mpigaji?
Aikambe mekuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
Sent using Jamii Forums mobile app