Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Aisee,siwezi hata kujaribu.
Mimi nampiga na fimbo maalum inayompa raha kitandani...[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] unasema tu bro ila sio poa inapofika kipindi mwanamke anakupa hasira za mwisho zile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had unatamani kulia kabla ujampiga iyo fimbo inapata mood ganinya kuamka sasa man!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawahi nyanyua mkono wako kumpiga mkeo, mpenzi,Demu??
Sababu ilikuwa nini ?
Je ni sahihi kumpiga MWANAMKE/MKEO/MPENZI??

MWANAMKE USHAWAHI KUPIGWA NA MPENZI/MUME WAKO ULIJISIKIAJE?


Kama ushawahi Kumpiga mkeo/mpenzi sababu ilikuwa nini? Na baada ya hapo ulichukua hatua gani kulimaliza hilo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.

Kuna wazee wanapiga wake zao hadi sasa na uzee wao, wanakera sana
 
Kuna manzi nilikuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka 4. Sasa siku tumekwaruzana na kuachana kabisa lkn nikiwa namuhifadhi gheto, tunalala pamoja lkn tumeachana.

Hakuwa na sehwm ya kwenda zaidi ya kujipanga hapo atafute kodi akaishi kwake.
Sasa siku bhana sijui imetokea kujibizana nn, nikimwambia nyamaza, anajibu sinyamazi, mdomo hujanipa.

Nikamwambia nitakupiga, akajibu nipige km ww ni mwanaume. Aisee, nilimpa makofi matatu, tangu siku hiyo akakaa sawa.

Baada ya siku 4, akasepa. Kila siku anakumbushia makofi yale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawahi nyanyua mkono wako kumpiga mkeo, mpenzi,Demu??
Sababu ilikuwa nini ?
Je ni sahihi kumpiga MWANAMKE/MKEO/MPENZI??

MWANAMKE USHAWAHI KUPIGWA NA MPENZI/MUME WAKO ULIJISIKIAJE?


Kama ushawahi Kumpiga mkeo/mpenzi sababu ilikuwa nini? Na baada ya hapo ulichukua hatua gani kulimaliza hilo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ndo inakuwa nini !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asa namwachacha sababu ya kibao ama?! Sikumwacha wala, ila nililia wiki nzima!

Chanzo ni simu yake iliita nikaifuata kumchukulia, kusoma jina linasomeka barafu wangu mie nikamwambia barafu wako anakupigia simu daaahhh nilisikia tuu kibao na kile kimotorola chake ninacho mkononii nikaona mbingu inatetema, nyota zoote ziko sebleni hatimaye nikadondoka chiini! Dk tano nzima sikuelewa nini kinaendelea kabisaaa nyota zikakoma machozi yakaanza sasa!
Ulilia kwa kupigwa au kwa Barafu wake?

Mana kwa mwanamke mwenye hisia, zaidi angeumia kwa kuona neno "barafu wangu" sio kipigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom