Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,522
Google story yake tu!Nisimulie bana!
Mb zangu zitaisha ujue
Google story yake tu!Nisimulie bana!
Mb zangu zitaisha ujue
Sawa mwaya!Google story yake tu!
NappilySawa mwaya!
Nitakupa mrejesho!! Halafu ni "Nappily au Happily?!
Jamani jamanii
Wewe najua huwezi kunipiga likibao kama lile!!
Nani anakuteka eti
Hahah pole mzee, hivi kumbe haukupita humu kamanda, hii uzi jana tumeishambulia kuanzia mida ka hii mpaka saa 3 page inaelekea 30 watu walikuwa hot sana ndani ya huu mjadala!
Itafute uicheki leo then utanielewa
Asante sana mwayaNappily
KhaaaaSi wewe hapo ndiye ulinifungia ndani wiki nzima kisa eti majirani zako wananisifia sana nilivyo handsome boy[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ni ID yako nyingine nini?!Wahi kwenye uzi unaukuuliza "unakuwaje comfortable na Mwanamke anayevaa wigi"
Maana uzi ulifunguliwa 15:00 hrs lkn ss hv ushafika 200 na uchee hv[emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafuata Sheria zako boss, Je ilikuwa rahisi kufanya yote hayo.??Ndio nilishawahi kumpiga mkewangu na hatua hiyo ilikua ni hatua ya Tatu ya kumchukulia hatua.
Ninasema hatua hiyo ni ya Tatu kwa maana katika kutoa Onyo ziko hatua 3 katika ngazi ya familia
1 Hatua ya kwanza kumuonya kwa njia ya majadiliano na kumwachia nafasi ya kujitetea.
2. Hatua ya Pili ni kumuonya kwa kumfokea Pasipo kumwachia nafasi ya yeye kujitetea(Kukasirika kupita kiasi)
3 Kumuonya kwa kumpiga na kumpa nafasi ya kujitetea
4 Kumwacha na kumpa stahiki zake mlizohangaika kutafuta mkiwa wote.
Na Mimi baada ya kumpiga! Na alipokua akiendelea na tabia ambazo zilizokua hazikubaliki ndani ya mlango wa serikali yangu hatua nilioichukua ya kumaliza tatizo ilikua ni kumwacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ni ID yako nyingine nini?!
Sio kwa promo hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji870][emoji870][emoji870]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali totoo,,,welcome back anytime! Enjoy the movieAsante sana mwaya
Ile ni ID yako nyingine nini?!
Sio kwa promo hii
hahahah nina kazi man, yani nilitakiwa niianze toka saa10 jf inanitia uvivu acha tu! Nitarudi lakini!Wahi kwenye uzi unaukuuliza "unakuwaje comfortable na Mwanamke anayevaa wigi"
Maana uzi ulifunguliwa 15:00 hrs lkn ss hv ushafika 200 na uchee hv[emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile kule banaKwani tuko strongestbeliefsecret wangapi humu JF[emoji848][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
ThanksUsijali totoo,,,welcome back anytime! Enjoy the movie
Ile kule bana