Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe kupiga wenzenu mnaona raha eeh! Unaonja the test of yo own medicine.

Wanaume wajinga ndio wanapiga wanawake as akili za kuishi nao wanakuwa hawana.
Mwanaume hawezi shindwa ishi na mwanamke kwa amani ila mwanamke ndie mtu wa kutaftaga mabalaa mara nyingi.
Usimuite mwanaume mjinga maana kitendo cha kuja kukuchukua kwenu kukuzalisha muishi pamoja kwa amani under one roof hakuna kichaa anaweza!
 
Blame game huh!!
Kwaheri.
 
Yaani nilivyoona umenikoti nilijua tu kuwa hiki ndicho umeandika, mimi sipigwi ukinipiga uwe umeandaa kabisa na talaka
Kwa jeuri hiyo utaondoka mwenyew talaka itakufuata kwenu,Leta upuuzi uone Cha moto
 
Maudhi sio kitu kizuri, maana tunajua hasira huja bila taarifa ya nini unatakiwa kufanya na hasara uja baadae. Ni wanaume wachache sana tunajitaidi kuzuiya maamuzi ya kunyanyua mkono na kumnyamazisha mwanamke. Inatokea vibao kama vyote mtu anapokea mama mvua za masika ila ni kitu cha ghafla sana...na baadae mtu uyo ujutia kwann amefanya maauzi hayo

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom