Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Kwanza tukubaliane hamna mtu anayependa kumpiga mkewe labda kama wale wenye mkono wa kupiga kabisa kabisa.

Mimi maisha ya ujana haya sijawahi piga mwanamke akikosea ishu ya kupigwa, namuacha badala ya kumpiga.

Huyu mwanamke wa sasa ni mpole nikisema anasikia vizuri tu na kufuata maelekezo hivyo kusema kumpiga ni matumizi ya nguvu yasiyo ya lazima na kufanya awe nunda.

Ila mpenzi wangu akiniuliza hivi ukinioa nikikuuzi sana utanipiga? namwambia ukweli kabisa tokea tumeanza mahusiano hujawahi fanya kitu kibaya mpk Nika lose control ila haimaanishi sitakuja kukupiga ukizingua.Kofi moja kubwa la nguvu litakuhusu.

Tukubaliane hapa 70% ya wanawake bila Kofi Moja kubwa la nguvu kwa mwaka mara Moja au mbili,ndoa nyingi zisingedumu.

Inafikiaga kipindi mwanamke aelewi kabisa hata ukijaribu kurudia rudia badooooo yaani anakuwa kama amekuzoea, anakudharau sasa zinapoanza dharau na makofi yanakuwa automatic tu yaani mkono unakuwa mwepesi tu.

Huwez kumuacha mwanamke au kupeleka kesi kwa wazazi eti mke wangu anisikilizi nisaidieni au eti mke wangu nikimwambia sipendi majibu ya dharau hataki kwahiyo namuacha khaaa lazima tutumie njia zote ya upole,ya serious,ya ukali, makofi ndo sasa yakuachana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nan alisema ndoa ni kama nyapara na mfungwa mwenzie??? Yaan ninakutana na mengi ila sjawai kuwaza kupigwa na nishamwambia ukiona makosa yamekithiri hakuna anayekulazimisha kuishi na mm adi utumie nguvu
Haha kuna mtu hapa atakuja kukulazimisha kuwa huwa unapigwa, watu wa humu bwana wanachekesha kama sio kusikitisha
 
Siku akichoka atambadilikia ushangae

Kipigo cha kwanza wengi huwa tunasamehe

Ikijirudia tena na tena na tena hapo sasa ndo mtu anajitengenezea adui wa kuishi nae ambae ni mbaya kuliko

Anaweza fanya maamuzi kipigo hata cha kumi ukajiuliza huyu mbona nilimsamehe kule lkn hapa nimeshindwa...maana yake ni tayari umechoka na uvumilivu umefika kikomo

Penginepo ni watoto, au kama hivi unawaona wanavyotamba humu kuhusu hili swala unasema nikitoka hapa hata penginepo hali ni hiyo hiyo,,,, kwa asili sie wanawake ni wavumilivu na wapole sana sana ila tukifika mwisho wa uvumilivu tunakuwa wabaya mnoo,,,
Yaani nimebaki kumshangaa yale ni mapenzi ya aina gani [emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikifikia kutaka kumnasa vibao MUPENZI ni bora kubwaga manyanga. Unaweza kujiharibia maisha for the rest of your life ukabaki na majuto mjukuu ukiwa lupango. Kibao paaaaaaaa! Mrembo kaanguka! Inuka inuka na wewe UMEUA bila kukusudia.

Rafiki yangu kipenzi pia alishuhudia kaka yake akimtandika mkewe kwa kuchelewa kurudi akiwa amelewa. Aliogopa sana alidhani Kaka yake kamuua mkewe kwa kipigo.

Hongera

Umewaona waume tulionao Afrika yaani wanatamba na kujisifu kutupiga

Ila wananifurahisha sana hawasemi adhabu zinazowakabili baada ya hivyo vipigo,,, wacha nizidi kuboresha adhabu yangu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom